Ni uoga au tabia kwa manawake?

Mi huwa siwezi kulala upande wa ukutani,
najihisi kuwa out of control ya room yangu,
 
Nadhani ni mazoea tu; kwa nini usizungumze naye upate kujua kwanini anapendelea kulala ukutani?
 
home na mdogo wangu tulikuwa tunawahi ukutani, hii ilitufanya tuwwe tunakimbilia kitandani mapema, yani atakayewahi ndio analala ukutani
 
home na mdogo wangu tulikuwa tunawahi ukutani, hii ilitufanya tuwwe tunakimbilia kitandani mapema, yani atakayewahi ndio analala ukutani
Ha ha ha aaaa, Shantel umenikumbusha mimi ilikuwa tofauti, nachelewa kulala ili nisilale ukutani, sijui ilikuwa sababu ya uchafuzi wa hewa kweli tunatofautiana teh teh teh
 
labda maana alivyokimbilia magari...wakati ujanja bajaji siku hizi!

Ha ha haaaa, halo halo!
ndio maana yake shosti,
yaani full kipupwe hamna cha ac wala feni
acha nicheke kimbea,
Nimeipendaaaa.
 
Heh, we chabo unalaza watu kwenye gari?!
<br />
<br />
Hapana ila huwa naona watu wanalala kwenye magari.sijui huwa wanafanya nn.maana gari huwa linakuwa linachezacheza
 
Nafikiri wengine kitanda kinakaa katikati ya chumba but upande wangu naujua lol
Shantel,umewahi kusoma kitabu chochote kinahusu mambo ya feng shui? Kama bado tafuta usome wanaeleza madhara/faida ya bed positioning,lakini kwa kifupi tu stability ya mwili wako inaendana na earths magnetism hivyo alignment ni muhimu kwa ustawi wa mwili hasa wakati umelala.
 
Back
Top Bottom