Kitila Mkumbo
JF-Expert Member
- Feb 25, 2006
- 3,354
- 1,943
Too little, too late madam!
namtafuta nape hapatikani.......nataka aione hii
Mwana dada Shyrose Bhanji amemtolea uvivu Mzee Johni Chiligati alipo post kwenye ukurasa wake wa faacebook kauli mbiu yao ya
"TUMETHUBUTU,TUMEWEZA NA TUNASONGA MBELE!"
Mwana Dada Shyrose akamwandikia mzee Chiligati maneno haya
Hayo ni maneno makali sana kutoka kwa mwanadada Shyrose, ana muona wa mbali sana tofauti na wana CCM wengine ambao hawataki kukubaliana na ukweli kwamba CCM inaelekea kufa.
Hizi ni dalili za kukiasi chama tawala, CCM. Kutoa malalamiko mbele ya umma tena makali kama haya kwa mwanachama aliyewahi kuomba nafasi ya juu, sipati jibu kabisa. Mhe. Chiligati ana email, saduku la barua na anaofisi. Kwa nini asimfuate huyu mwanadada akaongee naye au asubiri vikao vya chama? Bila shaka anatumiwa kama wanaJF walivyodokea kipindi kilichopita. Hapo ndipo naona kuwa wanawake wakitumiwa, wanakurupuka tu bila kuona madhara yake. Sifikiri kama Tanzania inahitaji raisi Mwanamke kwa sasa kwani huu ndo udhaifu wao mkuu walio wengi. Hama chama ndo ukayaongee hayo hadharani.Shyrose isije ikawa ni visa baada ya kuambulia patupu CCM ,ila kama yanatoka moyoni hongera and keep it up!
Good Shyrose! umebakiza neno moja tu ........VUA GAMBA ....VAA GWANDA