Ni umri upi sahihi kwa mwanaume kuoa?

safi,nimwipenda na nasema ya kwamba cku hiz kuo ni maendeleo sio kama zaman.
 
Kumekuwa na mitazamo tofauti katika jamii, wengine husema ukishapata kazi tu ukioa ndipo utajipanga na kuepuka vishawihi haijalishi unakuwa na umri gani. Lakini kwa upande mwingine wanasema ni vizuri kujipanga kwanza na kufikia umri wa miaka kadhaa ndipo uingie katika ndoa .kwa mitazamo hiyo miwili upi ni sahihi?
 
Tafuta uzi humu unahusu mada hii tulidiscuss hadi point zikaisha
 
wewe ukishapata mke sahihi kwa umri wowote na mda wowote pia
 
Kumekuwa na mitazamo tofauti katika jamii, wengine husema ukishapata kazi tu ukioa ndipo utajipanga na kuepuka vishawihi haijalishi unakuwa na umri gani. Lakini kwa upande mwingine wanasema ni vizuri kujipanga kwanza na kufikia umri wa miaka kadhaa ndipo uingie katika ndoa .kwa mitazamo hiyo miwili upi ni sahihi?

Wengine wameshapata kazi, wameoa na bado wanashindwa kuepuka vishawishi. Ndoa sio fasheni.
 
Nilioa nikiwa na miaka23.Now ni miaka13 ktk ndoa na nina watoto watatu wenye afya bora.
1.Boy std6-12yrs old
2.Girl std3-8yrs old
3.Boy-3yrs old
 
Habari Wadau....
vijana wengi wamekuwa wakioa na kuolewa katika umri mbalimbali. ninaomba kwa ambao wameshapitia ndoa au wana uzoefu na uelewa juu ya umri wa kuoana atusaidie na sisi ili tusiwahi ndoa zikatushinda wala tusichelewe tukajilaumu. natanguliza shukrani za dhati.

Sent using Jamii Forums mobile app
Dah! Mkuu

Nakuomba chagua moja kwanza unataka kuoa au kuolewa ndyo nikushauri.
 
Mkuu usiangalie sana umri kama wewe ni mwanaume. Mwanamke kweli inabidi azingatie sana umri wa kuolewa - ahakikishe anaolewa akiwa hajazidisha miaka 40. Kwa mwanaume oa ukipata nafasi, ilimradi tu umetimiza miaka 18. Nafasi hapa namaanisha uhitaji wa kuwa na mwenza, utayari wa kujenga familia.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom