Ni umri upi sahihi kwa mwanaume kuoa?

Noo by the tym nafika 35 mtakua mmeshaachana...!!!!

Hayo ndio maombi yako! Mimi naamini kuwa kadiri mnavyokaa kwenye ndoa muda mrefu ndivyo mnavyokuwa compatible to one another.
Kuoa mapema ni vizuri zaidi maana wanakuwa hawajachafuliwa na sarakasi za ngono za hovyo hovyo, wanaanza maisha wakiwa sawa kiuchumi [hakuna aliyetangulia sana kuliko mwenzake], wanakabili majukumu mapema, watawalea watoto wakiwa bado na uwezo [unaepuka ile hali mtoto anamaliza sekondari wakati mzazi ndio anafika umri wa kustaafu], nk nk faida ni nyingi zaidi kuliko kuchelewa kuoa.
 
asante ndugu, wife alikuwa na miaka 22 kama mimi

Sio mbaya kuoa mapema ni vizuri tu ila cha msingi huwa ni vizuri kuangalia maumbile yenu maana wengine hukua haraka sana na kufikwa na uzee mapema basi kwa kuelewa hivyo unaweza kumchagua mwenzio ambaye utaenda naye sambamba ili baadaye isijetokea mwengine anasema mimi siku hizi sijisikii wakati mwenzio mambo bado kabisa yamejaa kwenye vyungu
 
kaka nashukuru kwako wewe kutoa living proof am amaized, but hapo kaka jibu sahihi ni inatokana na familia uliyotokea kama umetokea familia ya juu na hali ya kawaida its okey uoe hata ukiwa na miaka kumi na nane lakini kama ndo umetoka familia ya mzazi mmoja tena mama ameuza vitumbua kukusomeshaalafu unamalizia chuo unataka oa kabla hujapendezesha hali ya nyumbani sina budi kukuita mpumbavu na mfupi wa fikra ni hayo tuuu.
 
umri wa sasa ulonao ndo ulikuwa uoe sasa,

sababu kubwa tatu

  1. unamwonekano wako ktk umri wako huo, hata ukifikisha 39-40 hutakuwa na tofauti wkt mwingne hata ukifikia 60...ulivyokuwa 20s na mwenza wako mulikuwa beutiful/handsome/babyfaces kwa sasa utafika wakati utapata shida katika ndoa yenu, JAMBO KUBWA HAPA NI KWAMBA umri wa 22, ni mdogo na mulikuwa wabichi tofauti ambayo utaihisi na kuiona baadae 34-38/40 ambapo utakumbuka wakati mkeo akiwa mbichi na wewe ulivyokuwa na nguvu za tendo na mboo yenyewe haitakuwa kama ilivyo sasa,ukiweka vitano bila kushuka, K ya mke wako itakuwa tofauti pia, zile test zitakuwa zimezeeka pia. :"ashakun si matusi"
  2. Pana mambo mengi sana hujapitia katika teens yako, ilikuwa lazima upitie lkn wewe ukaamua kuwahi, sio mbya lkn ujue kuwa utapambana na vishawishi ujilinde na yeye ajijue ajilinde na mungu wenu awasaidie
  3. umejaaliwa kupata kazi na vijisent vya kukusaidia ukweli wa 40s kama hujapata pesa huwi na pesa tena ni idea za kishenzi na uziondoe, kujenga mapema ni vizur sana kwa kuwa unaepusha usumbufu na majukumu ya baadae na kwa kuwa hujui utadumu lini ktk kazi inayokulipa sasa.
yOU ARE JUST IN A RIGHT TRUCK GO GO GO AHEAD
 
Hakuna kipya?? go home you are drunk MKATA KIU!!!!

Wakati wahenga wanakuambia the beautiful ones aren't yet born..why hurry! ;-)

Thank you..umeliona nililoliona!!!!:smash::smash:

ni kweli wakati ninaoa nilikuwa tayari ana ujauzito wangu...ila no body forced me to marry her..it was my decision
 
Bora ww 22 mm nimeweka jiko na miak 20 na kaka zangu bdo hawajaoa na mm nawasaidia kila kitu..kuna katabia eti hmna kuoa mpka kaka zako waoe ujinga tu
 
Nakubaliana na waliosema maisha hayana fomular, hebu angalia kwa upande wangu maisha yalivyo nipeleka peleka:-

Nikiwa na miaka 22 niliajiriwa serikalini nikiwa na Diploma. Nikiwa na miaka 27 nikajiunga na 'Open University', nikiwa na 28 (2nd yr Open University) nikafunga ndoa. Nikiwa na 30 nikapata bachelor yangu ya 'Open University' wakati huo huo nikapata mtoto wa kwanza. Kiwanja, bati 120, boriti na ciment vyote vipo, mwaka huu nasimamisha mjengo halafu January naenda UDSM kupiga masters au scholership yangu ikikubali naenda kuchukulia masters yangu nje ya nchi. Usafiri sina sababu nina access na magari ya ofisini, any where I can go except for leisure (starehe) only.

Kwa hii fomular yangu haifanani na ya mtu mwingine na kamwe haitokuja kufanana!

Kwa upande mwingine, ukichelewa sana kuoa let's say na 35, kwa maisha ya kibongo bongo watoto hutawalea vizuri kwa kuwapatia stahili zao. Kwa hiyo miaka 35 labda uwe umejenga nyumba, gari unalo na akaunti yako inasoma vizuri, otherwise itakuja kukuwia vigumu ukianza majukumu ya kusomesha na kuongeza kipato hasa kuanzisha biashara. Ni hayo tu!!!
 
Umri sahihi ni pale akili inapopevuka na kuwa ready kukabiliana na hilo!

Unaweza ukafika 40 na bado usiwe ready kuoa!

So if you are ready u can go for it! Listen to urself!

Kiufupi hakuna umri sahihi

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Kwa wazinzi wanasema kuwa na mpenz mmoja,ukishindwa tumia kondom!

Mungu anataka UOE!!!

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Nakubaliana na waliosema maisha hayana fomular, hebu angalia kwa upande wangu maisha yalivyo nipeleka peleka:-

Nikiwa na miaka 22 niliajiriwa serikalini nikiwa na Diploma. Nikiwa na miaka 27 nikajiunga na 'Open University', nikiwa na 28 (2nd yr Open University) nikafunga ndoa. Nikiwa na 30 nikapata bachelor yangu ya 'Open University' wakati huo huo nikapata mtoto wa kwanza. Kiwanja, bati 120, boriti na ciment vyote vipo, mwaka huu nasimamisha mjengo halafu January naenda UDSM kupiga masters au scholership yangu ikikubali naenda kuchukulia masters yangu nje ya nchi. Usafiri sina sababu nina access na magari ya ofisini, any where I can go except for leisure (starehe) only.

Kwa hii fomular yangu haifanani na ya mtu mwingine na kamwe haitokuja kufanana!

Kwa upande mwingine, ukichelewa sana kuoa let's say na 35, kwa maisha ya kibongo bongo watoto hutawalea vizuri kwa kuwapatia stahili zao. Kwa hiyo miaka 35 labda uwe umejenga nyumba, gari unalo na akaunti yako inasoma vizuri, otherwise itakuja kukuwia vigumu ukianza majukumu ya kusomesha na kuongeza kipato hasa kuanzisha biashara. Ni hayo tu!!!
 
...hata nikitaka kuoa we nambie ntamuoa nani..aaaaargghhhh...mi nimeahidiwa miaka 80.

35 - get married.

36 - first kid.

39 - second. (twins, I close)

42 - Third.
.
.
.
.
.
kulea
.
.
.
.
kulea
.
.
.
.
i die.:smash:

u die?aaah aah aah !wellcalculated cv....actually mi kwenye life cv yangu sijaweka iko kipengele,si kwamba hakipo ila sikiweki hata akilini...my expectations are to live and live until God decides...decided what?i dont say it.
 
in the word i have highlited.....you want to brand me as a muongo na mtu ninaefanya mambo kwa kufwata upepo.........but am not of that type and .....what do i benefit of lying you??...just belive what i say or ignore!!

Kama umeoa na unajisema kwamba hutetereki na unaamini kwamba uko sahihi zaidi ya mizee mizima inayokaa nyumbani, una haja gani ya kuuliza (kuomba ushauri) kwa jambo ambalo umeshafanya na limeshafanikiwa?

Je, kama maoni ya wengi yakiwa HUKUFANYA VYEMA na wewe tayari practically umefanikiwa, utafuata maoni ya watu au utaendelea kuamini kile kile ulichoamini wakati unaoa?

Hiki kiingereza ni cha chuo gani?

Acha mbwembwe bwana mdogo, kuna watu wa kuwapiga fix lkn sio Mwana Mtoka Pabaya.

Wewe nachokiona umepata kazi na kwa kuwa balehe zinakusmbua, umedhamiria kuoana na mtoto mwenzio. Sasa kwa kuwa umepata upinzani kutoka kwa jamii yako, na tayari umedhamiria kuwapuuza umekuja hapa kutafuta moral justification ya mawazo yako. Ndani ya moyo wako unajua niko sahihi
 
Last edited by a moderator:
Bora ww 22 mm nimeweka jiko na miak 20 na kaka zangu bdo hawajaoa na mm nawasaidia kila kitu..kuna katabia eti hmna kuoa mpka kaka zako waoe ujinga tu

mimi mwenyewe nilianza kuzaa mapema nikiwa nina miaka 19 nikiwa form 4,nikaoa rasmi nikiwa nina miaka 21 lakini sikuoa huyu niliyozaa naye,huyu mke wangu tumebahatika kupata watoto 3 yaani mapacha na mwingine 1 mpaka leo hii nina miaka nina miaka 29,sijisifu kuwa nimefanya kitu kizuri au kutetea kuoa mapema wala siwabezi ambao bado hawajaoa na wako 30s,ila nawashauri wale wenzangu na mimi tuliowahi kuoa mapema tuache tabia ya kujisifu maana bado tunasafari ndefu sana ya maisha yetu ya mahusiano,hapa tulipo tunaweza kupatwa na matatizo makubwa ikafika wakati mpaka tukajilaumu kwanini tulioa mapema na tukakimbilia kuomba ushauri hata kwa walioa wakiwa 30-35,siombei mabaya ila tuache majigambo utafikiri matatizo ya ndoa yapo tu kwa waliochelewa kuoa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom