Ni uchawa na uzwazwa wa media za hapa nchini kushindwa kurusha "live" kesi ya bandari kule Mbeya

Sexless

JF-Expert Member
Mar 11, 2017
21,563
50,415
Kesi iliyofunguliwa na jopo la wanasheria wazalendo kule Mbeya kupinga mkataba wa bandari kila mtanzania ana hamu ya kufahamu nini kitaendelea mahakamani katika kesi hiyo.

Lkn cha kushangaza media za hapa bongo zimekaa kimchongo, kichawa na kinafiki badala ya kujipanga na kurusha kesi hiyo moja kwa moja.

Nchi hii Ina mambo ya kijinga kuanzia ikulu mpk mitaani.

Bora ningezaliwa mbwa Ulaya.
 
Wana habari watupashe yanayojiri

Watanzania hawajaridhika na mkataba wa Bandari..
 
Kabla ya kuvishambulia tuambie kwanza mchango wako wa kiuchumi kwny hivyo vyombo vya habari ?

Wilbroad Slaa mwenyewe katelekezwa njiani baada ya kuipiga Jeki Chadema juzi kati pale Temeke wamemtelekeza wakati walimuahidi tuko pamoja na watazunguka nae Mikoa yote kwny operation 255
 
Piga moyo konde. Tutafika.
 
Kesi iliyofunguliwa na jopo la wanasheria wazalendo kule Mbeya kupinga mkataba wa bandari kila mtanzania ana hamu ya kufahamu nini kitaendelea mahakamani katika kesi hiyo.

Lkn cha kushangaza media za hapa bongo zimekaa kimchongo, kichawa na kinafiki badala ya kujipanga na kurusha kesi hiyo moja kwa moja.

Nchi hii Ina mambo ya kijinga kuanzia ikulu mpk mitaani.

Bora ningezaliwa mbwa Ulaya.
Ulaya mbali bora kuzaliwa ngamia hapo Somalia
 
Back
Top Bottom