EvilSpirit
JF-Expert Member
- Jun 15, 2017
- 8,558
- 12,684
Sheria Na. 4 ya 2004 Jedwali. 158(1 )(a) kujamiiana kwa maharimu (iwapo mwanamke ana umri chini ya miaka kumi na nane). Anaweza kukamata bila hati.. Kifungo kwa kipindi kisichopungua miaka thelathini. Mahakama ya Chini. (1)(b) ... kujamiiana kwa maharimu (iwapo mwanamke ana umri wa miaka kumi na nane na zaidi). Anaweza kukamata bila hati. Kifungo kisichopungua miaka ishirini au faini isiyozidi shilingi mia tatu au vyote kwa pamoja na fidia. Mahakama ya chini (2)…. Iwapo mwanamke ana umri chini ya miaka kumi na mbili. Anaweza kukamata bila hati. Kifungo cha maisha (3)…. . Kujaribu kutenda kosa la kujamiiana baina ya maharimu. Anaweza kukamata bila hati. Kifungo cha miaka miwili. 160 ... Kujamiiana kwa mharimu wa kike.