Husninyo
JF-Expert Member
- Oct 24, 2010
- 23,723
- 9,193
dear ya pande za wapi hiyo?
pande hizi nilipo mpenzi.
dear ya pande za wapi hiyo?
ulaka mwana ile kitu wacha!!!!
chonde chonde mliozoea za kizungu, huku msivamie, kuna nyingine ni tamu kinoma, utajikuta unakunywa tu, halafu huwezi kujua kama umelewa mpaka ujinyee kwanza.
Enkonyagi en (cognag) sio mchezo.
mbege siyo pombe, uwe na adabu kwa wachaga
Gongo la Kagera hasa kutokea Karagwe na Kyerwa ndo pombe ninayoikubali inaitwa ENGULI/KALINYA kuna namba yake inaitwa EMBANDULE (Super)hii km huna kerosene unaweza washia kibatari/chemri. Duu,nimeimiss kinoma10 bora ya Pombe nzuri za asili:
1. KOMONI
2.ULANZI angalizo:Uupate ule MKANGAFU au MDINDIFU (sio MTOGWA)
3.KIMPUMU
4.MCHUJO
5.MBEGE
6.KYINDI
7.WANZUKI
8.KIJOTI
9.GONGO (ya mbeya)
10.GONGO (ya bukoba )
Naamini ipo siku hii gongo itakuja kuwa branded na serikali Kwan ndo gongo ambalo viongozi wengi kutokea mkoa Kagera wanalipigia sound liwe kwenye soko la kitaifa kwan ni pombe ambayo inasafirishwa kimagendo kwenda Rwanda,Burundi, Uganda,Congo drc, nk. So serikali inakosa pato bila sababu za msingi kabisa,karibia mikoa yote ya kanda ya ziwa inategemea pombe hii toka Kagera ambapo huitwa Kaitaba.Wenyeji wa kagera waishio Dar ndo vinara wa kuagiza hii mali wanayoimiss sana.Baada ya krismass zile private cars toka huko ni lazima wabebe package ya kutosha km zawadi kwa ndugu na marafiki waishio Dar/DomGongo la Kagera hasa kutokea Karagwe na Kyerwa ndo pombe ninayoikubali inaitwa ENGULI/KALINYA kuna namba yake inaitwa EMBANDULE (Super)hii km huna kerosene unaweza washia kibatari/chemri. Duu,nimeimiss kinoma