Ni nani mtunzi wa wimbo, "Mabepari Walia" na yuko wapi?

Kuna ubaya gani kukiwa na matabaka. Niko Marekani na tabaka langu ni la working class but I have everything I need.
In Tz it is between the haves n have nots. The gap is yawning. Hali ya umaskini ya leo heri ya jana.
 
Hebu tumuombe mzee mwanakijiji atusaidie kutafuta jibu la swali hilo, maana najua kwenye kumbukumbu zake lazima kutakuwa na reference inayoonesha source ya wimbo huo. Mzee Mwanakijiji upo?
 
Ukitaka kumjengea kila mkulima shule nzuri, zahanati nzuri na huduma zingine nzuri ni lazima uongeze ukubwa wa serikali. Ukubwa huo utaongeza matumizi ya serikali na kufanya serikali kushindwa kutoa huduma nzuri au kulipa mishahara mizuri. Matokeo yake unakuwa na wafanyakazi na wakulima mafukara.

Hivyo kutokujenga matabaka katika nchi kama Tanzania ni suala gumu. Na kutatuliwa kwake kunahitaji resources za mali na vichwa.

Amka wewe, huhitaji kuongeza ukubwa wa serikali ili kuwapa watu huduma bora! Kinachohitajika ni usimamizi bora, au wewe ni gamba?
 
Back
Top Bottom