Je, Dkt. Bashiru ni nani hasa na nani yuko nyuma yake (giza nene)?

TumainiEl

JF-Expert Member
Jan 13, 2010
6,193
11,225
Nawaza nje ya Box. Haya ni mawazo japo nimawazo mazito ktk giza nene na kike kina weza tokea siku zijazo.

Nimekuwa mtu napenda kuandika kesho ya Taifa hili ktk mabandiko yangu tofauti tofauti na watu wengine wamekuwa wakihisi nakunidhania hata mm yawezekana nipo ktk list ya watu wanapata nyeti za ikulu.

Ila napenda kukanusha na nina juwa hata watu idara wameshafuwatilia sana uwenda id yangu ila hajakuta either nikiongea au kupata siri za ndani ya Taifa hili japo ktk masomo ya intelligences ndani ya Taifa wapo watu wanaona kesho na aina hii ya watu ni wachache na mara nyingi sana kwa uwezo tulio nao tuna sikia na kuona mambo ya siri ktk hali ambayo hakuna mtu anaweza akadhania au kutafakari.

Unaweza kujiuliza nikiwa nje ya idara nilikuwa nikifuwatilia nakuona kesho Ya Hayati Dk John Pombe Magufuli. Kiukweli huyu Rais nilimpenda sana ila kwa bahati mbaya sana Kuna mambo aliyafanya na hayo yalituacha wengi ktk majonzi. Ukisoma madokezo yangu unaweza ukashituka sana kuliko unavyo soma dokezo la dark days.

Tunaona, tuna nusa na tuna sikia mbaya kuliko yote tuna tambua watu ambao hata wao hawajuwi tuna watambuwa. Aina hii ya uwezo tuna kuwa nao mara nyingi tuna ongozwa na siri. Yes siri ndio kiongozi wetu.

Nimeanza na haya maelezo nilikuwa watanzania wengi hawajuwi kile kilitokea mpaka number one down na hawajajuwa Nini hatima ya Taifa hili na nani yupo nyuma ya mambo wengi tunaona kama kiza kinene.

Niliwahi kuanzisha thread kama tatu ambazo kwa mwenye macho ya mbali anaweza ku connect dot na hiki ambacho kinaendelea. Yes Kuna hali ambayo naweza kusema Taifa lina pita na nimtu akichomoa bettery basi moto unalipuka.

Dk Bashiru amepata wapi nguvu na Mamlaka kuwarushia mawe wanao sema mama anaupiga mwingi na pasiwepo kiongozi yeyote wa juu wa chama akiongea au thubutu kumsema.

Huyu Dkt. Bashiru ukimuona unaweza mchukua poa ila is the most low profile but very high in this nation. Maneno yake na maandiko yake sio tu anayasema ila anatabiri wakati ujao.

Kuna kikundi ndani ya chama kinahisi chenyewe ndio kina haki kuongoza hili Taifa wao na vizazi vyao kundi hili ndio kundi lina isumbua ccm kama unamkumbuka vizuri Hayati Mkapa alipambana sana na hili kundi na hata inasemekana mtot wa kigogo fulan asinge pata nafasi japo Hayati alipinduwa meza akapita.

Ccm ina taka kuwa chama tawala ila ili kuitawala hii nchi hawana budi kupambana na makundi haya ndani ya chama.

Kila mtanzania mwenye akili na uwezo anapaswa kupata fursa ndani ya ccm ila imekuwa ni wao na watoto wao hili limemuibua Dk Bashiru japo ametupoteza kwa wale hatuna maono.

Je Unaweza jiuliza Dk Anapata wapi nguvu kubwa kama hiyo na Vyombo vyote vina piga kimya? Japo pia ukimya ni jibu.... Stay tune
 
Kuna kikundi ndani ya chama kinahisi chenyewe ndio kina haki kuongoza hili Taifa wao na vizazi vyao kundi hili ndio kundi lina isumbua ccm kama unamkumbuka vizuri Hayati Mkapa alipambana sana na hili kundi na hata inasemekana mtot wa kigogo fulan asinge pata nafasi japo Hayati alipinduwa meza akapita.
Kundi hatari mno hili kwa ustawi wa nchi
 
Bashiru hana hiyo power mnayotaka kumpa.

CCM wote ni wachumia tumbo na kwa nguvu alizopewa Rais na mwenyekiti wa CCM, akikohoa tu wanayumba wote na kutenda anachoagiza

So, wakitaka kudeal na Bashiru hatochukua hata masaa 24. Kimsingi Bashiru ndio keshapotea hivyo na huo ubunge wa mchongo anaweza kupokwa muda wowote na aliyemteua & kumtengua asiulizwe chochote
 
Nawaza nje ya Box. Haya ni mawazo japo nimawazo mazito ktk giza nene na kike kina weza tokea siku zijazo.
Nimekuwa mtu napenda kuandika kesho ya Taifa hili ktk mabandiko yangu tofauti tofauti na watu wengine wamekuwa wakihisi nakunidhania hata mm yawezekana nipo ktk list ya watu wanapata nyeti za ikulu. Ila napenda kukanusha na nina juwa hata watu idara wameshafuwatilia sana uwenda id yangu ila hajakuta either nikiongea au kupata siri za ndani ya Taifa hili japo ktk masomo ya intelligences ndani ya Taifa wapo watu wanaona kesho na aina hii ya watu ni wachache na mara nyingi sana kwa uwezo tulio nao tuna sikia na kuona mambo ya siri ktk hali ambayo hakuna mtu anaweza akadhania au kutafakari.
Unaweza kujiuliza nikiwa nje ya idara nilikuwa nikifuwatilia nakuona kesho Ya Hayati Dk John Pombe Magufuli. Kiukweli huyu Rais nilimpenda sana ila kwa bahati mbaya sana Kuna mambo aliyafanya na hayo yalituacha wengi ktk majonzi. Ukisoma madokezo yangu unaweza ukashituka sana kuliko unavyo soma dokezo la dark days.....

Tunaona, tuna nusa na tuna sikia mbaya kuliko yote tuna tambua watu ambao hata wao hawajuwi tuna watambuwa. Aina hii ya uwezo tuna kuwa nao mara nyingi tuna ongozwa na siri. Yes siri ndio kiongozi wetu.

Nimeanza na haya maelezo nilikuwa watanzania wengi hawajuwi kile kilitokea mpaka number one down na hawajajuwa Nini hatima ya Taifa hili na nani yupo nyuma ya mambo wengi tunaona kama kiza kinene.

Niliwahi kuanzisha thread kama tatu ambazo kwa mwenye macho ya mbali anaweza ku connect dot na hiki ambacho kinaendelea. Yes Kuna hali ambayo naweza kusema Taifa lina pita na nimtu akichomoa bettery basi moto unalipuka.
Dk Bashiru amepata wapi nguvu na Mamlaka kuwarushia mawe wanao sema mama anaupiga mwingi na pasiwepo kiongozi yeyote wa juu wa chama akiongea au thubutu kumsema.

Huyu Dk Bashiru ukimuona unaweza mchukua poa ila is the most low profile but very high in this nation. Maneno yake na maandiko yake sio tu anayasema ila anatabiri wakati ujao.

Kuna kikundi ndani ya chama kinahisi chenyewe ndio kina haki kuongoza hili Taifa wao na vizazi vyao kundi hili ndio kundi lina isumbua ccm kama unamkumbuka vizuri Hayati Mkapa alipambana sana na hili kundi na hata inasemekana mtot wa kigogo fulan asinge pata nafasi japo Hayati alipinduwa meza akapita.

Ccm ina taka kuwa chama tawala ila ili kuitawala hii nchi hawana budi kupambana na makundi haya ndani ya chama. Kila mtanzania mwenye akili na uwezo anapaswa kupata fursa ndani ya ccm ila imekuwa ni wao na watoto wao hili limemuibua Dk Bashiru japo ametupoteza kwa wale hatuna maono. Je Unaweza jiuliza Dk Anapata wapi nguvu kubwa kama hiyo na Vyombo vyote vina piga kimya? Japo pia ukimya ni jibu.... Stay tune
Kuna vitu viko simple kuvielewa. Huyu alikuwa anakula kuku kwa mrija ,tena kuku bora wa kienyeji (by Tanzanian standards in terms of quality of chickens for dinner!). sasa umemuondoa kutoka cake hiyo, unategemea atakupenda? Kuna kundi kubwa Samia amelitema/kick out of the system, unategemea kundi hilo will be happy with Samia? NEVER! Lazima litafute kum distabilize in one way or the other!
 
Mkuu

Mimi sijawahi beza andiko lako!

Hadi sasa hakuna aliyejibu hoja za Bashiru!!

Watu makini wamekaa kimya Sana hasa kinana kakaa kimya hajibu !!

Kawaacha mbwa koko wabweke Bila kujua wanabweka kwa ajili ya nini na Nani!!?

Yaani uwezo waonwa reasoning wabwekao ni mdogo Sana!!

JARIBU KUFIKIRI

--Anaeweza kumchalenge Mwenyekiti wa chama ni yule ambaye walionyuma yake ni wakubwa kuliko Mwenyekiti!!

Hilo TU NDIO wanapaswa kujua!!!
 
Huyu Dk Bashiru ukimuona unaweza mchukua poa ila is the most low profile but very high in this nation. Maneno yake na maandiko yake sio tu anayasema ila anatabiri wakati ujao.
Hana ushawishi wowote, ni hiyo nguvu ya magufuli aliyompa. Hakuna mwenye ushawishi kwa watanzania (mfano kama Nyerere alivyokuwa) ndani ya CCM. Ni mabavu ya polisi, tume ya uchaguzi and the like vilikuwa vinawapa akina Bashiru nguvu na visibility kwa watanzania. I can dare say Mbowe/Lisu wana ushawishi maana hawana side force kama za CCM ya kuwafanya waonekane, ni matendo yao, kauli zao, vyama vyao na sera zao???? (hapa sina uhakika kama watanzania wanazijua sera za Chadema in details))
 
Great

Great one, nionhezee tu Hakuna kiongozi WA CCM mwenyw ushawishi, ila Wana mkono mkubwa na support kutoka vyombo vyy dola.
 
Great

Great one, nionhezee tu Hakuna kiongozi WA CCM mwenyw ushawishi, ila Wana mkono mkubwa na support kutoka vyombo vyy dola.
Exactly! Ukiwa na ushawishi, huna haja ya ku bother na opponents wako kumjunga jela, kumbambikia kesi and the like! Unaacha nature to take its course maana unajua una command ya watu wengi nyuma yako! Why use police? Tume ya uchaguzi?
 
Katiba inasema kila mtu ana uhuru wa kutoa mawazo yake ili mradi asivunje sheria. Haya wanaomsuta Bashiru waonyeshe sheria aliyovunja! Usimsute mtu kabla ya kutafakari.
Hakuna uhuru wa kutoa mawazo nchi hii. Ungekuwepo watu wangeruhusiwa kufanya maandamano.
 
Kuna vitu viko simple kuvielewa. Huyu alikuwa anakula kuku kwa mrija ,tena kuku bora wa kienyeji (by Tanzanian standards in terms of quality of chickens for dinner!). sasa umemuondoa kutoka cake hiyo, unategemea atakupenda? Kuna kundi kubwa Samia amelitema/kick out of the system, unategemea kundi hilo will be happy with Samia? NEVER! Lazima litafute kum distabilize in one way or the other!
Sasa mbona yule aliyelipwa malimbikizo Yote ya Ubunge amegoma kurudi nyumbani?
 
Back
Top Bottom