Ni msemo gani unaokupa nguvu zaidi ukiwa kwenye shida

Kila jambo hupangwa na Mungu na kwa makusudi yake, akisema YES hakuna wa kusema NO. Ni suala la muda tu.
 
don't give up for in the darkest hour there is always a twinkle of light to lead through
 
don't give up for in the darkest hour there is always a twinkle of light to lead through
 
don't give up for in the darkest hour there is always a twinkle of light to lead through
 
Mimi ndio NIKO ambaye Niko...........Omba lolote nami nitakupa, asema bwana wa majeshi!
 
Njoni kwangu ninyi nyote msumbukao na wenye kuelemewa na mizigo nami nitawapumzisha!!!
 
Baba .......... Baba wa Mbinguni -
NIMEKUKUMBILIA WEWE NISIIAIBIKE MILELE ......... Zaburi 71

+ speaking in tongues ........... hapo FARAJA, NGUVU MPYA INAKUJA NA NASONGA MBELE!!!!
 
La hawla wala quwwata....ila billaahil-aliyyil-adhiim.
(hakuna ujanja wa aina yeyote...wala hakuna nguvu aina yeyote...kwenye jambo lolote...ispokua Mungu atake...alie juu ya kila kitu...na ni mkubwa kuliko kila kitu) hii tafsir ndio sahihi ya hayo maneno kwa ufafanuzi wake.


Hizo bold zinazosomeka yeyote ilipasa uandike 'yoyote', na alie uandike 'aliye', hapo ungeeleweka vyema.
 
Back
Top Bottom