matunduizi
JF-Expert Member
- Aug 20, 2018
- 6,600
- 15,399
Usipende mambo ya kushindwa.
Biblia inasema
" Kila alitendalo litafanikiwa. "Zaburi 1:3
" Nayaweza mambo yote katika yeye anitiaye nguvu" Wafilipi 4:13
Hivyo kama ni mkristo unayejitambua hupaswi kukubali kushindwa jambo lolote ambalo umeanza na Mungu.
Badala ya kutafsiri chochote kwako kama kushindwa, bora utumie lugha chanya mbadala mfano:
1: Mungu anajambo lingine kubwa anataka nifanye kuliko hilo.
2: Hili Mungu alilitumia kama darasa ili nikifuzu anipe kubwa zaidi ya hili.
Kama ni mkristo amini Mungu ananjia nyingi za kukufanyia mambo makubwa. Hivyo siku zote amini hakuna wa kufunga jambo lako wala wa kulizuia.
Ni hilo tu.