Ni msemo gani unaokupa nguvu zaidi ukiwa kwenye shida

Kwani ni jambo gani hilo yeye asilo liweza, liseme....Kwa hisani ya sarah K
 
Efeso 3:20,
basi atukuzwe yeye awezaye kufanya mambo makubwa kuliko yale tuyaombayo au tuyawazayo, kutokana na nguvu yake itendayo kazi ndani yetu.

[h=3]Ephesians 3:20[/h]
[SUP]20 [/SUP]Now to him who is able to do immeasurably more than all we ask or imagine, according to his power that is at work within us,
 
do! nimewakubali nimejifunza kitu hapa angalau mna slogan za maisha cc wengine tunakwendakwenda kama mtumbwi uliokoza nahodha asanteni saana
 
Back
Top Bottom