Ni mke wa mtu, ni mzuri, ANANITAKA nifanyeje?

sababu ya kuwa ni mzuri huku amekwishajihami kuwa anamwenyewe lakini vishawaishi vyakuelemea........ujue wewe pia ni mdhaifu sana...unahitaji msaada..................
 
Nashukuru wa kuu, nimeanza kuyafanyia kazi mliyo nishauri, kwa kuyachambua, kuchanganya na yangu. Thankyou for sharing with me. This is our home
 
Bado hujakomaa; ina maana hata baada ya kuoa huyo mchumba wako ukiona tu mwanamke mzuri basi unataka utembee naye. Kwanza je hata huko ndani ni mzuri, usijekuwa una-judge kitabu kwa kuangalia cover!!


Ngwanaomayu nangho? Ndani ya nini wakati hutaki kununua? window shop tuuu....ndani ni muoaji?
 
Nimesoma comments mpaka nimecheka eti Elia ni mtoto kha?? Watu wengine bana hebu achana na ushauri usiofaa fata uleeee sawa eehhh!!!!
 
user-online.png
Elia

Today 02:49 PM
#162

wewe mwenyewe una wivu kama nini.......mchoyo....tabia yako kama ya maji..maji yakiamua kutafuta njia huwa hayashindwi lakini pindi yakiipata hiyo njia huwa yanaleta madhara pale yanapopita......lakini pia kule yanakoeleka huwa hayana umoja huishia kutawanyika na kukauka ovyo...

tabia yako ni kama ya maji kaka yangu....na mimi huwa nawambia watu humu unaweza kuficha jina lako halisi lakni nafsi huwezi kuificha....watu wengi tumewafahamu kwa kutumia maandishi yao........

wewe kwa kawaida nimekugroup kwenye kundi la choleric..watu wenye tabi hii huwa wana kiburi lakini wako very systematic na ni wasafi lakini kwa ndani ni wakatili sana..ndio wewe ...unaonyesha ukatili kwa huyo mchumba wako ......ndio maana unatamani mke wa mtulakini deep down huna lolote la kufanya na huyo dada wa watu huko mbele ila tamaa zako na hulka zako ndizo zinakupelea hivyo na wewe ...

hebu badili hiyo tabia....na mimi nakwambi a kaka yangu siku zote uzuri wa mkakasi lazima ndani kuna kipande cha mti......kaana ridhika na uliye nae wacha kudandia wake za watu kaka yangu...uzuri wewe ni cholerici ungekuwa ni phlegmatic ingekusumbua sana.....

ukikutana na mwanamke mzuri siku zote cha kufanya toa sifa kwa mungu kwa muumba hivyo na wote sis binadamu ni wazuri ...kwanza nikikuuliza uzuri ni nini? au ukweli ni kitu gani juu ya uzuri sidhani kama una jibu.....
 


...kwa bahati nzuri au mbaya, jana nimerudia kuiangalia sinema ya Fatal Attraction,...

fatal-attraction-1987--00-300-75.jpg
...nashauri uiangalie hii sinema itakutafsiria "the light at the end of the tunnel!"
 
Nilimpa lift jumatano asubuhi wiki iliyopita. Anasoma chuo cha usimamizi wa hotel. Aliomba namba yangu ili ikiwezekana niwe nampa lifti siku moja moja hasa nyakati za asubuhi na jioni. Siku hiyo Jioni alinipigia simu kuniuliza kama nimetoka kazini ili nimsaidie lift. Bahati nzuri nilikuwa karibu kutoka ofcn, akaopt kunisubiri. On ourway home Aliniuliza ninaishi na nani, nikamjibu na wadogo zangu na nina mchumba yupo hapahapa Bongo ila hatuishi nae. Akasema yeye anaishi na mumewe na wana mototo mmoja wa miaka minne, mumewe ni mtu wa kusafiri sana safari za mikoani. Lakini Kuanzia hiyo j’tano she keep on trying to be close to me, also she asked my weekend plans. I managed to avoid meeting with her this weekend but I’m not sure if my strength to avoid her forever will persist longer coz she is so cute. Sina uhakika kama anataka mahusiano lakini ni ngumu kumkatalia akitaka. The way she talk, the way she look, the way she ask, her figure Uhhhhh! dud Nifanyeje na huyu mtu? Leo nilipanga sinta mpa-lift sikupokea hata simu yake asubuhi lakini nilipofika kituoni ikawa kama mbwa mbele ya chatu.

Mkuu Hapo pekundu hapo ndipo lugha ilipobadilikia. Angalia sana mumewe anaendesha malori usije jutia weakness zako.
 
Nimesoma comments mpaka nimecheka eti Elia ni mtoto kha?? Watu wengine bana hebu achana na ushauri usiofaa fata uleeee sawa eehhh!!!!

Ohhh, niliku-miss sana dadayangu Thanks a lot...
 
1.Huna ujanja wa kumuacha,......umempenda sana.
2.Jiandae kung'olewa meno jamaa akirudi. Data zote anazo....si mnapakiana kwenye gari??? nani asieona???
3.Utapoteza wote mchumba na huyo bibie
 
owh pole sn bt try 2 avoid her as much as u can cz ni mke wa m2,kumbuka mla vya wa2 na chake huliwa..ukiona km vp beta umwambie ukweli kwmb ww ni mke wa m2 ha2wezi kuwa karibu
 
Unajua nini Kaka, What goes around always .....
Huyo unayemuita Mchumba wako ambaye huishi nae watu humpaga lift kwa style hiyo,Kama ana gari basi na Yeye hutoa lift Kama unavyofanya wewe, na ukirogwa Ummege huyo Wife wa mtu na wewe Mchumba wako atamegwa vile vile.
Just stop ukaribu na huyo Mdada,It seems like una Mu entertain thats why mmefikia stage hiyo.
Heri nusu shari kuliko shari Kamili Kaka.
Ungenikuta kipindi kilee kabla Sijamu ingage X, ningekwambia Kula Kaka 'Tambaa na Bit"
Respect
 
Ndugu yangu habari nazozisikia kuna kikundi cha wazee pale Mwembechai, shughuli yao kuu ni kudeal na wapenda wke za watu, halafu nasikia hao wazee hawana hata gharama ni kama 20,000 kwa ajili ya vijana wa kuwakamatia, nafikiri watakuwa wanatumia Viagra, nooma. Halafu to me hata kama wewe ni malaya kiasi gani ukidume wako hauwezi kamwe ukadhihirika mbele ya mke wa mtu. NEVER! Mnaharibu future za watoto wa watu kwa tamaa tu, dont think of the husband but think of their little kids na dreams zao na uendelee na huo upumbavu. Mi nikisikia mtu amevunjiwa mayai na wazee wa mwembechai huwa nafurahi sana tena hutamani kuwa mmoja wa wavunja mayai. Muulize yule jamaa yule, aah si yulee, mkwewe sijui Mdhungu? aliyekuwa na kempiski kule Mbezi anyway kama hujamjua uliza utaambiwa. Ni ulimbukeni, kama malaya kuna totoz kibao mjini zifate ugombane na malaya wenzako, ooh sory for hard language, upuuzi huwa siufagilii.
 
Do you know that some people buy guns because of protecting their marriage? Do you know that your girfriend might be like that woman after when you're married to her? Will you be comfotable if you hear that your girlfriend (after you got married) is cheating you with another man?
Please brother, stay away from other men wives if you are planning to live longer. Just respect her, show her the boundaries and that you are only helping her and that you expect nothing in return! I believe she will respect you, and you will only be good friends.
Just rember one thing: WOMEN ARE WEAK, DON'T TAKE THE ADVANTAGE OF THEIR WEAKNESSES TO SATISFY YOUR WEAKNESS! Stay safe!
 
inaonekanaa una gariii zuriii...unamvuto au mwanamkee ni jambaziii tu.ushaurii achana naee hata mambo ya lift usimpee tenaaa akikwambia lift mwambie sipoo,au mpe lift ukiwaa na mchumbaa ako then mtambulishe.kilaa unachokionaa kwa macho sio kilaa kitu kinaliwaaaa.kimbiaa kama babuuu
 
Mie ninachojua ni kuwa hakuna mwanaume anayelazimishwa kuwa na mwanamke. Na wewe Elia umeshajiwekea mawazoni mwako kuwa huyo ni mzuri, ingawa haujatuambia kuwa huo uzuri wake unaucompare na nani? na je kila msichana/mwanamke mzuri utakuwa unatamani kumla? (kama unavyoita wewe). Nachelea kusema kuwa bado haujakuwa na utulivu, unajitafutia matatizo na pia unamuweka mchumbao (according to you) matatizoni.

Ushauri:
Siku zote mwanaume huwa ni mwamuzi wa mwisho katika kuanzisha mahusiano ya kimapenzi, sasa wewe ukiwa na tamaa na kujiendekeza utaishia kuchovya. Na kumbuka si kila king'aacho ni dhahabu. Trade carefully....This is the world of benefit
 
sina hakika kama kuna jipya saana uloshauriwa hapa na hukulijua kabla...kuna ukimwi, kuna hatari ya kuvunja uchumba wenu nk. Yote hayo ni dhahiri shahiri...unayafahamu.Acha kutafuta vijisababu vya kujustfy huo upuuzi. Mtapeanaje namaba ya simu kwa ajili ya lifti eti asbh na jioni?Wee mwenyewe unam intertain, ndo maana anakuganda.



bht, nimeipenda avatar yako
 
Nilimpa lift jumatano asubuhi wiki iliyopita. Anasoma chuo cha usimamizi wa hotel. Aliomba namba yangu ili ikiwezekana niwe nampa lifti siku moja moja hasa nyakati za asubuhi na jioni. Siku hiyo Jioni alinipigia simu kuniuliza kama nimetoka kazini ili nimsaidie lift. Bahati nzuri nilikuwa karibu kutoka ofcn, akaopt kunisubiri. On ourway home Aliniuliza ninaishi na nani, nikamjibu na wadogo zangu na nina mchumba yupo hapahapa Bongo ila hatuishi nae. Akasema yeye anaishi na mumewe na wana mototo mmoja wa miaka minne, mumewe ni mtu wa kusafiri sana safari za mikoani. Lakini Kuanzia hiyo j’tano she keep on trying to be close to me, also she asked my weekend plans. I managed to avoid meeting with her this weekend but I’m not sure if my strength to avoid her forever will persist longer coz she is so cute. Sina uhakika kama anataka mahusiano lakini ni ngumu kumkatalia akitaka. The way she talk, the way she look, the way she ask, her figure Uhhhhh! dud Nifanyeje na huyu mtu? Leo nilipanga sinta mpa-lift sikupokea hata simu yake asubuhi lakini nilipofika kituoni ikawa kama mbwa mbele ya chatu.

Mkuu kama kuna visa vibaya hapa duniani na vyenye mauaji ya kutisha na mtu hawezi kukuonea huruma ni pamoja na kutembea na MKE WA MTU. Pili ni visa vya kuzulumiana mali. Hivi vitu viwili nimeshuhudia watu wakiuawa kinyama kama kuku na mchezo unaisha. Ukizidiwa katafute changu bara barani kuliko kumfikiria mke wa mtu.
 
Observe man strength! Ukikubali utakuwa hujui thamani ya utu wako na ya yule mtarajiwa wako, pia kumbuka kuwa atendaye haki hubarikiwa na what you do bad comes back to you hivyo ukisaliti tu tarajia laana toka mchumba wako ikiwa ni mshahara wa maovu yako kwani manung'uniko yake yatakuathiri sana. Komaa bro hizo ni changamoto kuelekea ndoa yako.
 
Back
Top Bottom