Jifunze uvumilivuMkuu naomba unieleweshe
HV kuchoka na kuhisi maumivu ni viti viwili tofaut...?
Nkiona nachoka niongezee mwendo VP nkiskia maumivu ya viungo
Ushaur:
Nlianza mazoez ya jogging nna wiki ya tatu sasa...
Mwanzo pumzi ilikua inasumbua ila sasa angalau ...
Yakafata maumiv ya kiuno yanafanya nipunguze umbali ...
Maumivu ya kiuno hayajaisha sasa yamekuja ya magoti...
Wakuu ngependa kujua nakosea wapi
Hapo kweny uzito uko sawa kabisaInawezekana uzito wako ni mkubwa sana.
Unatumia nguvu nyingi kuuinua mwili wako.
Cheki uzito wako kama unaendana na mwili na umri wako.
Pia, kuchoka hivyo ni sehemu ya mazoezi. Ndio mwanzo, badae utaanza kuzoea endapo huna tatizo la mwili.
Mkuu je unatakiwa kwa siku ukimbie kuzunguka uwanja wa mpira mara ngapi? Na kwanini ukiwa unakimbia mwili unakuwa kama unachoma vile?Fanya mazoezi ya kukimbia huku ukivuta pumzi ndani vuta mpaka mwisho kisha ibane muda mrefu kati ya sekunde 30 hadi 60. Kisha unaachia pumzi kwa nguvu,unavuta tena
Mkuu je unatakiwa kwa siku ukimbie kuzunguka uwanja wa mpira mara ngapi?
Na kwanini ukiwa unakimbia mwili unakuwa kama unachoma vile?
Na kwanini miguu inakuwaga inauma sana?
Anza mazoezi madogo madogo ya kukimbia tena anza kukimbia easy run mpaka uanze kuzoea zoea.Naomba mnisaidie kujua aina tofauti tofauti za mazoezi yatakayoniwezesha kuwa na pumzi kwa maana nikifanya zoezi dogo tu naishiwa pumzi.
Ndugu wanajamii naomba msaada wenu tafadhali.
usinywe maji mengi au kula na kushiba sana muda mfupi kabla ya kuanza mazoezi. tumbo liwe tupu ila usiwe na njaa, pili usikimbie kasi sana anza mdogo mdogo kwanzaMkuu mm nikikimbia hua napata maumivu ubavu wa kushoto hiyo ikoje
...Kucheza Mpira wa Kikapu, BasketBall, nako pia ni Zoezi Zuri sana...Umepa ushauri sahihi kabisa, fanya mazoezi yote yanahohitaji kutumia punzi au kakata punzi, kuegelea ni zoezi linalohitaji punzi hasa na zuri Ila tahadhari anza na kina kidogo.