Ni mazoezi gani yatanisaidia kujenga pumzi?

@merengo90,
Mkuu naomba unieleweshe
HV kuchoka na kuhisi maumivu ni viti viwili tofaut?
Nkiona nachoka niongezee mwendo VP nkiskia maumivu ya viungo
 
Ushaur:
Nlianza mazoez ya jogging nna wiki ya tatu sasa...
Mwanzo pumzi ilikua inasumbua ila sasa angalau ...
Yakafata maumiv ya kiuno yanafanya nipunguze umbali ...
Maumivu ya kiuno hayajaisha sasa yamekuja ya magoti...

Wakuu ngependa kujua nakosea wapi

Inawezekana uzito wako ni mkubwa sana.

Unatumia nguvu nyingi kuuinua mwili wako.

Cheki uzito wako kama unaendana na mwili na umri wako.

Pia, kuchoka hivyo ni sehemu ya mazoezi. Ndio mwanzo, badae utaanza kuzoea endapo huna tatizo la mwili.
 
Inawezekana uzito wako ni mkubwa sana.

Unatumia nguvu nyingi kuuinua mwili wako.

Cheki uzito wako kama unaendana na mwili na umri wako.

Pia, kuchoka hivyo ni sehemu ya mazoezi. Ndio mwanzo, badae utaanza kuzoea endapo huna tatizo la mwili.
Hapo kweny uzito uko sawa kabisa
Kabla ya kuanza zoez nlikua na 92kg at the age of 25
 
Fanya mazoezi ya kukimbia huku ukivuta pumzi ndani vuta mpaka mwisho kisha ibane muda mrefu kati ya sekunde 30 hadi 60. Kisha unaachia pumzi kwa nguvu,unavuta tena
Mkuu je unatakiwa kwa siku ukimbie kuzunguka uwanja wa mpira mara ngapi? Na kwanini ukiwa unakimbia mwili unakuwa kama unachoma vile?

Na kwanini miguu inakuwaga inauma sana?
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom