Ni mazoezi gani yatanisaidia kujenga pumzi?

mfukunyunzi

Senior Member
Mar 4, 2011
142
26
Naomba mnisaidie kujua aina tofauti tofauti za mazoezi yatakayoniwezesha kuwa na pumzi kwa maana nikifanya zoezi dogo tu naishiwa pumzi.

Ndugu wanajamii naomba msaada wenu tafadhali.
 
Jaribu zoezi la kuogelea, kwa kuwa umesema huwa unaishiwa pumzi mapema, basi mwanzoni ukiona ugumu huo usikate tamaa, endelea hivyo hivyo na baada ya muda mwili utazoea... Pia kama alivyo tanabaisha mdau hapo juu, Jogging nayo ni nzuri sana kwenye kujenga pumzi. Hivyo unaweza ukaanza na jogging na baada ya muda uka-join kuogelea.

Angalizo
Mazoezi huwa yana ugumu wake hasa pale unapokuwa unaanza, usikate tamaa wala usikubali uvivu au maumivu yakakurudisha nyuma. Jitengee muda maalum kwa ajili ya kufanya mazoezi na usianze kwa kufanya mazoezi magumu bali anza na mepesi mepesi ili kuupa mwili nafasi ya ku-adopt mabadiliko.
 
Fanya mazoezi ya kukimbia huku ukivuta pumzi ndani vuta mpaka mwisho kisha ibane muda mrefu kati ya sekunde 30 hadi 60. Kisha unaachia pumzi kwa nguvu, unavuta tena
 
Ili nikushauri ningependa kujua yafuatayo.

1. Una umri gani?
2. Una uzito gani?
3. Unafanya kazi gani?

Basing on the answers for the above questions I would be in the better position of assisting you. Ila kwa haraka haraka unaweza kutembea umbali wa takriban kms5 kila siku, kuruka kamba kuanzia ishirini na kuendelea asubuhi na jioni, jogging.

Then from there you can go swimming, squash, tennese, badminton etc. Lakini pia punguza vyakula vya mafuta na wanga mwingi
 
Unavuta sigara? Ikiwa ndio, wacha. Na ikiwa ndio, ukifanya kwa dhati mazoezi uliyoelekezwa hapo juu Post 8 utawacha mwenyewe.
Good Luck
 
Naomba ushauri:
Nlianza mazoez ya jogging nna wiki ya tatu sasa. Mwanzo pumzi ilikua inasumbua ila sasa angalau. Yakafata maumivu ya kiuno yanafanya nipunguze umbali.

Maumivu ya kiuno hayajaisha sasa yamekuja ya magoti.

Wakuu ngependa kujua nakosea wapi.
 
TANMO,
Umepa ushauri sahihi kabisa, fanya mazoezi yote yanahohitaji kutumia pumzi au kakata pumzi, kuegelea ni zoezi linalohitaji punzi hasa na zuri Ila tahadhari anza na kina kidogo.
 
Jogging, kuruka kamba, kuogelea, kuendesha baiskeli (cycling) ukisha kuwa na uwezo wa kufanya jogging umbali kiasi unaweza kuanza short sprints.. ( ni mazoezi yanayofanya moyo kuwa na uwezo wa kupump damu muda mrf- cardivascular capacity)
Ukiweza kujenga huo uwezo mazoezi mengi utayamudu.
 
Ushaur:
Nlianza mazoez ya jogging nna wiki ya tatu sasa...
Mwanzo pumzi ilikua inasumbua ila sasa angalau ...
Yakafata maumiv ya kiuno yanafanya nipunguze umbali ...
Maumivu ya kiuno hayajaisha sasa yamekuja ya magoti...

Wakuu ngependa kujua nakosea wapi
Kosa lako ni kupunguza maumivu sometmz huwa ishara ya kuonyesha una exceed limit yako ya kawaida, hapo ulitakiwa uonge core excercise na miguu uongezee mazoez yake pia mbona utakuwa well.

1463505114417.jpg
 
Kwanza tuanze na vyakula

Epuka kula misos yenye pilpili, sigara, maji baridi.
Chai tangawizi nzuri boy.

Mazoezi fanya zoez lolote huku ukibana pumzi usipumue then ikikata iachiwa taratibu.
Kukimbia , kuruka kamba, kunyakua , push ups ni mazuri.
Kuogelea ni zoezi zuri coz viongo vyote vinahusika.

Note . Ukiona unachoka hapo ndo komaa ongeza muda coz ndio unajaribu kuvuka kiwango cha kawida na kuji upgrade, otherwise utabaki hapo hapo.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom