Ni marufuku kuimba wimbo wa Taifa bila kibali maalumu cha Wizara ya Mambo ya Ndani

😂😂😂 wanatulisha ujinga aisee, yaani unaona jua halaf unalazimishwa useme usiku.
Nilidhani watasema taasisi zote za kiserikali na binafsi kila siku kabla ya kuanza kazi inabidi waimbe wimbo wa taifa kama kuliombea taifa, viongozi na raia. Pia kama kuongeza uzalendo, mim binafsi huwa nikiusikia ule wimbo hadi na sisimuka. Soon utaambiwa kibali kinalipiwa.
Anyway watutafutie wimbo mmoja wa chama uwe unaimbwa badala ya huu.
 
Serikali kupitia Wizara ya Elimu na Wizara ya Mambo ya Ndani imepiga marufuku kutumia wimbo wa taifa isivyo sahihi. Katika tangazo hilo lililosambaa mitandaoni serikali imepiga marufuku kuimba wimbo wa taifa mahali popote pale bila kibali isipokuwa kwenye dhifa au shughuli za kitaifa.

Katika hatua nyingine serikali imekataza matumizi ya neno njano kwenye bendera ya taifa. Kwa mujibu wa serikali bendera ya taifa ina rangi nne ambazo ni
BLUE
NYEUSI
DHAHABU na
KIJANI
Hii ni tofauti na inavyofahamika na wengi ambao huitaja rangi ya njano kama mojawapo ya rangi za bendera ya taifa badala ya rangi ya dhahabu inayotambuliwa katika sheria mbalimbali.

View attachment 965324View attachment 965325View attachment 965326View attachment 965327
Vp kuhusu mashuleni ambapo ndo tunapojifunzia???
Nipo ikulu nje hapa ila cha kushangaza bendera iliyowekwa hapa ina rangi ya njano..
 
Back
Top Bottom