1000 digits
JF-Expert Member
- Oct 16, 2012
- 6,260
- 7,936
Nyerere usimfananushe na wahuni.That's why nasema Kanisa linatakiwa liombe radhi Kwa kuzalishwa wasomi wa hovyo kizazi na kizazi hadi Leo hii.
Kwani suala Hilo SI ni nyinyi wenyewe mnajitamba Kwa jeuri kuwa wenye shule ni nyinyi?na sisi tusio na shule kazi zetu ni uswahili.
Awamu ya kwanza ya Nyerere ni awamu mbovu kuwahi kutokea,nchi ni almost ilikua imeanguka kiuchumi na kila sekta ya Maisha,unadhani sera ya kusema Ruksa ilikuja Kwa bahati MBAYA??may be umri wako ni mdogo huwezi kuelewa.
Awamu hiyo ya tatu,ndiyo wasomi wa awamu hiyo wa kanisa wakawa vinara kuuza na kubinfasisha mashirika ya umma Kwa bei Chee,hadi mwenyewe kiongozi kufikia hatua ya kukiri kujutia uozo kama ule.
Hiyo Bado haiondoi fact kuwa wasomi wote katika awamu hizo Bado ni hao hao wa Kanisa, wasomi wa kanisa wamekuwa disgrace Kwa Taifa hili
Kila taifa Lina Nabii wake na mbeba maono anayeweka dirá ya Nchi.
Nyerere ndiye aliyewekwa na Mungu kuweka mweleko Wa Nchi Hii.
Mwisho Wa Yote Tanzania litakua Taifa kubwa sana Kutokana na misingi aliyoiweka Mwalimu.
Leo WATANZANIA Karibu Wote wanamiliki ardhi Zao za asili Kwa Sababu ya Mwalimu kuwanyanganya mashetani waliotoka uarabuni na Ulaya na kuja kukalia ardhi ya waafrika walipewa na MUNGU.
Hivi WATANZANIA mil. 61 wangeishije Kama wangekua Hawana ardhi ya kulima na kujitafutia riziki Zao?
Kwa Mfano Ardhi anayomiliki No Wa Simba ni kubwa usawa Wa karbu Wilaya mbili kubwa . Je, wangeachwa Matajiri mia Mbili Nchi nzima . Wabakie wale waliomikiki maelfu ya mashamba ya Korosho Kule Kusini. Malaki ya hekari za mashamba ya ngano,Mahindi,maharage na shayiri, maelfu ya mashamba ya mpunga Kule mbarali, maelfu ya mashamba ya Pamba Kule shinyanga na Mwanza, maelfu ya ekari za mashamba ya Tumbakuku Kule Tabora . Mamia ya ekari za mashamba ya Kahawa Kule Kilimanjaro n.k.
Na Kwa utajiri wao wangekua wanaongeza mashamba Kila Siku .
Ni Shetani tu na mawakala wake ambao wanamsujudia Kwa ajili ya Mali za Dunia ámbao hawaoni kuwa kama SIO Mwalimu Nyerere WATANZANIA hasa Watanganyika tungekua watumwa kwenye mashamba na Viwanda vya Wageni milele kwenye ardhi aliyotupa MUNGU .
Maandamano ya Kudai ajira , mishahahara Dunia ,Makazi Duni, huduma Dunia za afya n.k yasingekoma.
Tungekua tunaishi kama waafrika wenzetu kule Afrika Kusini.