Ni kweli Undugunazisheni serikalini ndio chimbuko la wizi na ufisadi mkubwa serikalini?

Shakari

Senior Member
Jul 6, 2022
157
440
Nimesikiliza maoni ya watu wakiwemo watazamaji wa ITV kwenye kipindi cha Kipima joto jana ambapo wengi wameelezea kuwa tatizo la undugunaizesheni ndani ya serikali ndio chimbuko la wizi na ufisadi.

wamesema watuhumiwa wa ufisadi wanashindwa hatua kutokana na baadhi yao kuwa na mafungamano na wakubwa hivyo suala la kuwajishana linakuwa gumu licha ya Mh Rais Samia kuagiza wahusika wote waliotajwa kwenye ripoti ya CAG watupishe.
 
Za ndaaani kabisa zinasema kwamba hadi saizi bado wanaendelea na mnyukano kwenye kikao wakiangalia nani watolewe kafara.
Inasemekana Chair amekasirika sana na Makamu Chair ndio amemshinikiza Boss wafanye kikao cha dharura ili wasije wakaipata aibu.
Tayari mnyetishaji amenitonya kwamba wamesha patikana wahanga wawili ila mmoja ndio wanapata ugumu kumtosa kutokana na fungamano madhubuti kundini.
Kufikia tarehe 3 kuna tamko/jambo zito litaachiwa ili kuwapumbaza walalahoi wasione kama Boss amedharauliwa.
 
kuwapumbaza walalahoi wasione kama Boss amedharauliwa.
Thank you!!

Hapa Wana play political game vs waanyonge ama wanyonywa damu.

Yaani Ni game ya predators vs prey or cat vs rat

, People knows how to play various games involving knowledge,skills chance and luck which you follow fixed rules and try to win against an opponent or to solve a puzzle.

Political game ni chafu wanatumia tricky, strategy,device kuwa win wanyonge ,walalahoi,wanaoliwa pesa zao,wanadharauliwa Ila wapo kimya hata kondoo ana react kidogo angalau.
 
Nini kinachofanya madudu yaendelee?
 
Back
Top Bottom