Serikali kwanini mnalazimisha vijana kidato cha nne kwenda vyuo vya kati?

Abdul Nondo

JF-Expert Member
Oct 28, 2016
515
2,875
Waziri wa @ortamisemi Mh.@angellah_kairuki na Waziri @wizara_elimutanzania Mh. @professoradolfmkenda . Tunaomba mlione suala hili malalamiko yanazidi kuwa mengi.

# Wengi wakilalamika wamepangiwa vyuo vya kati ikiwa hawakuchagua ,ila walichagua kwenda kidato cha 5 na 6 . Kama hoja ni CutPoint (Alama) ,Kuna waliopelekwa kidato cha 5 na 6 wamepata alama sawa na waliopelekwa vyuo vya kati ingawa wao hawakuomba vyuo vya kati.

Lakini pia suala lingine ni gharama vyuo vya kati , viongozi watanzania ni Maskini uwezo wao wa kifedha na kiuchumi ni mdogo sana kugharamia Elimu , ada ya kidato cha 1 hadi 4 elf 20 kwa Mwaka hawakuwa na uwezo wa kulipa ,Serikali ikaamua kutoa Elimu bure kidato cha 1 hadi cha 4 . Lakini pia ada ya kidato cha 5 na 6 elf 70 kwa Mwaka hawakuwa na uwezo wa kulipa serikali ikafuta ada ikaweka Elimu bure kidato cha 5 na 6.

Leo hii huyu mwanafunzi anatoka kidato cha nne akisomeshwa bure bila Ada akitarajia aendelee na mzunguko wa Elimu kidato cha 5 na 6 bure,ghafla ana chaguliwa vyuo vya kati DIT, DMl ,Mwalimu Nyererere na vyuo vingine akasome Certificate na Diploma ambapo Ada kwa Mwaka vyuo hivi ni zaidi ya laki 8 .Kweli huyu mwanafunzi ataweza kweli kuendelea na masomo ?.

Ushauri wangu , Serikali kupitia @ortamisemi na @wizara_elimutanzania wekeni utaratibu kwa ambao hawataki kwenda vyuo vya kati na wana sifa waombe kupangiwa shule kidato cha 5 na 6 na kuwe na awamu ya pili ya kupangiwa shule (Selection) kuwapa fursa hawa waende shule pathway ya kidato cha 5 na 6 . Tusilazimishi vijana kwenda vyuo vya kati ,lakini pia suala la gharama vyuo vya kati liangaliwe , wengine hawana uwezo tukiwalazimisha kusoma vyuo vya kati tumewapoteza na mzunguko wao wa Elimu utakuwa umeishia hapo ,jambo ambalo ni hasara pia kwa Taifa na serikali kumsomesha bure alafu anapotea kirahisi tuu namna hii.

Cc Mh. @samia_suluhu_hassan
 
Ni kweli ila watanzania wajifunze kusomesha watoto wao bila misada ya serikali.
 
Wewe utakuwa ni wa kulalamika kwa Kila kitu hadi unaingia kaburini.

Pole sana dogo
 
Hata uko unako sema form 5&6 watoto wa masikini wanaharibu future zao vibaya, ndo wanalizwa kule waalimu wa sayansi wazuri hamna, advance science comb kama pcb pcm cbg wanafunzi wachache ndo wanaambulia div 3 au 2 ya 12. Wengi 4 na O,

Wana malizia kuenda kusoma ualimu vyuoni, kuna shule kama tano sa serikali sayansi zinazo wekewa mkazo wote wanapate 1 ya 3.5, au 7 Wewe kabwera atakuja kupagiwa hiyo shule.....bora utafute pesa umpeleka mwanao private kama Feza, St Francis nk ndo utapata faida ya mwanao.
 
Me nawashaur vijana mnaomaliza form four mwende vyuo vya kilimo au mifugo au hata uvuvi mtanishukur badae izo mbwembwe za form 5 na 6 mtakuja kulia badae hapa tamisemi haiwaajir watu mnabeba ndugu zenu kumbe mnayataka wenyew haya kama hamtak ushaur wang
Kwakuwa wewe wakishua mambo safi
 
Watanzania ukweli ni huu wapamabane watafute hela za kutosha ili kuweza kuwapeleka watoto wao Vyuo vya kati ,Advance ipo kubalance vipato vyetu tu
 
Ni kweli ila watanzania wajifunze kusomesha watoto wao bila misada ya serikali.
Hilo la watanzania wajifunze kusomesha watoto wao linatoka wapi ? Sisi tuliambiwa tufyatue watoto, serikali itawasomesha.

Kazi tuliyotumwa tumeimaliza, ni wakati serikali ihangaike na hao watoto
 
Kaka naomba umuache Mama angu Mh.@Angellah_kairuki kabisa, huyu Mama ana roho ya kipekee sana Tena muache kama alivyo, Kila kitu kinahitaji muda kuwa sawa. Upe muda wakati.. sio kulalamika tu, njoo na njia za kutatuta tatizo.. mfano hao wanaoenda vyuo vya kati ni namna gani waweze kusaidiwa ishu ya Ada .. kulalama tu haitoshi.. narudia Tena Muache huyo Mama kama alivyo, Watoto wa Wanyonge wanamtegemea sana.
 
Back
Top Bottom