Kwa sababu mwanaume ni mwanaume, full stop!!
kuna hadithi moja zamani ilitokea mtaa mmoja
watoto wa miaka kama kumi na mbili wa kike na wa kiume walikuwa wakichezeana na kufanya mapenzi ktk umri huo.
basi wale wazee wa mtoto wa kike wakawa wanazungumza kuwa mtoto wao anaharibiwa na mtoto wa jirani na wakawa wanajipanga kwenda polisi.
upande wa pili baada ya kusikia hatua ambazo wazee wenzao wanataka kuchukua, mbio walikimbilia polisi na kufungua shtaka la kuwa mtoto wa jirani anawaharibia mtoto wao, wale walishangaa inakuwaje mtoto wa kike amuharibu mtoto wa kiume?
sasa wakati wanaongea polisi mara wazee wa mtoto wa kike na wao wameingia kufungua shtaka, wakaambiwa mbona wenzenu weshakufungulieni, na wanalalama mtoto wao haendi shule, hakai nyumbani, hatumiki kila wakati yuko na mtoto wenu, amemuharibu hataki kusikia wala kufata maelekezo ya wazee wake.
wazee wa mtoto wa kike walichoka.
Nimemuona mahala ila sikumbuki wapi dah kumbe mbona hujanambia wewe hujui mie ndo mwenyewe shauri yako nitakuwa sikusindikizi mie
shemeji salama lakini?
Sasa kama ndivyo, inakuwaje siku hizi visichana under 17 vinawakimbilia 45+?
Si kuonyesha kwamba za 45+ ndo zinachemka kuliko under 17 wenzao? Experience matters shemeji!!