Ni kwanini serikali imeshindwa kuwaajiri wahitimu wa fani za mafuta na gesi pamoja na uchache wao?

kuna kipindi wanasiasa na hata watalaam wa kitanzania huwa tunapotoshana sana.

unakuta mtu ni AB ana cheti cha STCW95 pale DMI anadanganywa atapata kazi kwenye Drill ship, jackup rig au hata hizi za exporation na kwenye operation za ROV..
Kazi nyingi kwenye Oil and gas ni proffessional's zinazohitaji proffesionals personnel wenye either experience na oil and gas operations au wenye uzoefu na kazi zenye kufanana na hizo kama watu waliofanya kazi kwenye mining field, au uchukue fresh graduates wa oil and gas, mining engineering, geologists, mechanical engineers, electrical engineers, electromechanical engineers, nk then uwatrain wafit kwenye kitu unachotaka.

Hata meli za kisasa zinataka mtu proffessional kwanza then uingie uchaguliwe kwenye area ambayo wewe unautalaam nalo, sio kama zamani unaweza kuokota mtu yeyote ukamfanya kuwa "Oiler" AB nk... dunia yasasa inataka watu proffesional zaidi kwenye marine industry na sio waogeleaji..

Hizi field kwasasa zimejaza sana Cheap labor kutoka ufilipino, India na Indonesia ambako wako wengi na ni very cheap, wachapakazi, waaminifu na wanajua kiingereza tofauti na manpower kutoka Africa ambayo inachangamoto kidogo.
Kipindi kile watu walilishwa upepo wakijua wataenda kwenye rig na Mandatory Course za STCW 95. Kozi za awali za kufanya kazi kwenye rig zinatolewa na South Africa sisi tulikimbilia kuanzisha kozi kubwa za kiutawala na kusahau watendaji wa chini.

Kweli mkuu, saizi pale DMI wameanzisha degree ya Offshore na masuala ya gesi. Wanafunzi watamaliza bila kwenda kwenye Rig.

Kwenye Rig kuna kazi kibao za chini ambazo tungepata wajuzi zaidi. Kuna Banksman,Rigger,Jack up, Sweepers,watu wa rescue, Helicopter operation za under water na uokozi juu ya meli
 
unahitaji kuwa na technical diploma au degree then STCW95, OPITO nk then ukatafute kazi kwenye rig...either ukawe motorman, 2nd engineer, 3rd engineer au chief kabisa, roughneck, derrickman, nk nk..
 
unahitaji kuwa na technical diploma au degree then STCW95, OPITO nk then ukatafute kazi kwenye rig...either ukawe motorman, 2nd engineer, 3rd engineer au chief kabisa, roughneck, derrickman, nk nk..
Mbona mnatuharibia uzi jamani. Tujadili sera za nchi yetu. Ili zirekebishwe hicho mnacho andika ni vitu individual. Sisi ndio viongozi wa kesho let's be serious
 
unahitaji kuwa na technical diploma au degree then STCW95, OPITO nk then ukatafute kazi kwenye rig...either ukawe motorman, 2nd engineer, 3rd engineer au chief kabisa, roughneck, derrickman, nk nk..
Kuna ambazo hazihitaji diploma au degree zile kazi za kawaida. Kuna wale washika drill, jack,crane operator,sweeper,welder hizi kuna short course zake za wiki moja
 
Jamaa angu alikumbwa na Upepo wa Petrolium aiseee angejuaa akili zake angeweka hata kwenye Civil Eng mamaeee sio huu upuuzii.. Ndo shida ya serikali kuanzisha project zisizokuwa na future plan yani wanakurupuka tuuu mwisho wa siku Mkuuwa TPDC anapewa muhuni tuu wa UVCCM huko hata petrol hajui inafananaje upuuzi mtupuuu...
 
Tafuta JUHA moja ulindikie Application letter upate pesa ya kula MIHOGO.

Njaa itakuua kudadadeki
Karibu sana boss: Moto wetu ni kufanya kazi kwa haraka na ubora wa hali ya juu.
IMG-20230208-WA0007.jpg
 
Watu wasioelewa mfumo wa maisha hawawezi kuendelea. Ndio wewe. Kichwani huelewi chochote kuhusu mfumo wa maisha ya mwanadamu. Maisha ni kutegemeana. Huwezi fanya kila kitu; ukiona mtu anauza karanga usidhani hana akili. Jifunze kuheshimu kazi za watu ndipo utafanikiwa. Usipokuwa hivyo utabakia maskini na uchawi wako. Kazi kuchawia biashara za watu.
Hehe,

Motivational speaker 🤣🤣🤣

Njaa itakuua
 
unahitaji kuwa na technical diploma au degree then STCW95, OPITO nk then ukatafute kazi kwenye rig...either ukawe motorman, 2nd engineer, 3rd engineer au chief kabisa, roughneck, derrickman, nk nk..
STCW zinapatikana hapo Marine Dar?
 
Back
Top Bottom