God Bless IsraelHabari wananzengo"
KWa wale wataalam wa jukwaa la teknolojia, naomba mnieleweshe namna gan naweza nikatambua kwamba hii saa janja ni band fulan?
Maana utakuta mtu anasema hii band 4, hii band 5
Sasa anawezaje kutambua hizo band?
Nawasilisha