๐—ก๐—ถ ๐—ธ๐—ผ๐˜€๐—ฎ ๐—ธ๐˜‚๐˜๐˜‚๐—บ๐—ถ๐—ฎ ๐—ถ๐—ป๐˜๐—ฎ๐—ป๐—ฒ๐˜๐—ถ ๐˜†๐—ฎ ๐—ฆ๐˜๐—ฎ๐—ฟ๐—น๐—ถ๐—ป๐—ธ ๐˜€๐—ผ๐˜‚๐˜๐—ต ๐—”๐—ณ๐—ฟ๐—ถ๐—ฐ๐—ฎ

Teknolojia ni Yetu sote

JF-Expert Member
Apr 28, 2020
445
754
View attachment 2832465

Mamlaka huru ya mawasiliano nchini Afrika kusini (icasa) imetoa onyo kwa mashirika, kampuni au watu mbalimbali ni haramu au marufuku mtu kutumia mtandao wa Starlink.

Mamlaka hiyo ya Icasa iliweza kutoa Onyo kupitia kinotisi kilichochapishwa kwenye gazeti la Serikali siku ya jumanne ambayo ilisainiwa na mwenyekiti Yolisa Yodama.

View attachment 2832466

Icasa imesema utoaji wowote wa huduma utangazaji , mawasiliano ya kieletroniki na usambazi wa intaneti ya masafa marefu bila kupata leseni ni ukiukaji wa Moja kwa Moja Sheria ya mawasiliano ya kimtandao.

Ni marufuku kununua vifaa vya starlink kwani havijasajiliwa na havina leseni, kutumia vifaa hivyo upelekea kuleta muingiliano wa mawasiliano ya radio frequency upelekea vifaa vingine kutokufanya kazi ipasavyo.

View attachment 2832467

Icasa ilimalizia kwa kusema vifaa pekee Toka starlink vilivyo halalishwa ni V3 Earth station Gateway sio zile antenna za sahani (dish antenna) havina vibali.

IMG_20231203_213018_803.jpg


Starlink kutoa huduma ya intaneti nchini Afrika kusini kihalali wanahitaji leseni za huduma ya kieletroniki ya kibinafsi (I- ECs) na huduma ya kimtandao ya kieletroniki ya mtu binafsi (I-ECNS) sio kuendesha kihuni huni tu.
 
Back
Top Bottom