MKWEPA KODI
JF-Expert Member
- Nov 28, 2015
- 28,707
- 71,003
Sasa kama amemaliza kifungo cha nyerere si wamrudishe nchini kwake
Jumbe kawa mzee sasa,yupo kwake mjimwema,ana ulinzi,gari na mafao ya serikali hiyo habari ya kukamatwa kwake uliisikia wapi
Mwaga kumbukumbu hizoAs it then was in 1984, it is in the public domain!
Mjimwema, Kigamboni. Kazeeka sananamuulizia aboud jumbe,wa,zanzibar aliyekamatwa na.kuzuiliwa mji mwema hivi maskin mzee huyu yupo wapi kwa sasa???
kuna standby generator,usiumize sana akilina kwa taarifa kigamboni yote umeme wa tanesco ukikatika ni kwakwe tu unaendelea kuwaka....sasa ujiulize kuna kebo ya waya wa umeme kutoka upande wa pili wa nyumba nyeupe umeenda kwake au la
Mzee hizo picha ni za kipindi gani.. Maana mzee jumbe kapukutika zaid ya hvyo, kaisha kweli kweli..Mkuu,
Ngoja tuongeze uthibitisho wa uhuru wa Mzee Aboud Jumbe. Picha za karibuni tunawaona kina Dr. Shein Rais wa SMZ, Maalim Seif Katibu Mkuu CUF, Dr. Bilal Makamu wa Rais Mstaafu wakiwa ktk picha na Mzee Jumbe, Kina-Tomaso picha hizi za Mzee Aboud Jumbe Mwinyi, amezaliwa 14 June 1920 na sasa ana umri wa miaka 96 ndiyo maana haonekani kutokana na umri mkubwa.
Duuuuh, chaka kwa chakakigamboni,lkn haruhusiwi kupanda lile pantoni na kutokeza mjini,yeye ni chaka kwa chaka..
Sasa kama hajawahi kukamatwa, Mbona hata kwenye sherehe za kitaifa hatajwi kabisa Mchango wake, mbona haruhusiwi kurudi kwao Zenji?Jumbe kawa mzee sasa,yupo kwake mjimwema,ana ulinzi,gari na mafao ya serikali hiyo habari ya kukamatwa kwake uliisikia wapi
Mwaga kumbukumbu hizo
...nchini kwake wapi?Sasa kama amemaliza kifungo cha nyerere si wamrudishe nchini kwake
Zanzibar...nchini kwake wapi?