Ni kosa gani alilolifanya Aboud Jumbe kustahili 'kifungo cha maisha'?

Mzee Jumbe aliona umuhimu wa Serikali tatu miaka zaidi ya thelathini iliyopita na akaipigania akiwa Rais enzi hizo mpaka akapoteza Urais wake akina Seif Sharif Hamad kwa kujipendekeza kwao kwa Bw.Julius Nyerere walijifanya waumini wa serikal mbili na Kina Aman Karume wanajifanya waumini wa serikal tatu baada ya kustaafu Urais
...hapa serikali Ni moja Tu, 2 au 3 za nini?
 
Yupo nyumbani kwake mji mwema na mara kwa mara amekuwa akipelekwa nchini India kwa matibabu.
 
Zanzibar Ni nchi kwani?
Ni wilaya kama ilivyo tanganyika

Zilipoungana wilaya mbili huru kukapatikana tanzania
Mkuu,
Ngoja tuongeze uthibitisho wa uhuru wa Mzee Aboud Jumbe. Picha za karibuni tunawaona kina Dr. Shein Rais wa SMZ, Maalim Seif Katibu Mkuu CUF, Dr. Bilal Makamu wa Rais Mstaafu wakiwa ktk picha na Mzee Jumbe, Kina-Tomaso picha hizi za Mzee Aboud Jumbe Mwinyi, amezaliwa 14 June 1920 na sasa ana umri wa miaka 96 ndiyo maana haonekani kutokana na umri mkubwa.

images

images

images

images

images

Mzee Jumbe aliona umuhimu wa Serikali tatu miaka zaidi ya thelathini iliyopita na akaipigania akiwa Rais enzi hizo mpaka akapoteza Urais wake akina Seif Sharif Hamad kwa kujipendekeza kwao kwa Bw.Julius Nyerere walijifanya waumini wa serikal mbili na Kina Aman Karume wanajifanya waumini wa serikal tatu baada ya kustaafu Urais
 
na kwa taarifa kigamboni yote umeme wa tanesco ukikatika ni kwakwe tu unaendelea kuwaka....sasa ujiulize kuna kebo ya waya wa umeme kutoka upande wa pili wa nyumba nyeupe umeenda kwake au la
Atakua anatumia back up supply ya solar au inveter zinachaji battery kubwa ambazo ziwasha umeme kwake incase umeme wa tanesco ukikatika
 
na kwa taarifa kigamboni yote umeme wa tanesco ukikatika ni kwakwe tu unaendelea kuwaka....sasa ujiulize kuna kebo ya waya wa umeme kutoka upande wa pili wa nyumba nyeupe umeenda kwake au la
Kuna standby generator na ukumbuke huyu alikuwa Rais kwahiyo anapewa Haki yake kama Marais wengine waliopitia Urais
 
Mzee Jumbe aliona umuhimu wa Serikali tatu miaka zaidi ya thelathini iliyopita na akaipigania akiwa Rais enzi hizo mpaka akapoteza Urais wake akina Seif Sharif Hamad kwa kujipendekeza kwao kwa Bw.Julius Nyerere walijifanya waumini wa serikal mbili na Kina Aman Karume wanajifanya waumini wa serikal tatu baada ya kustaafu Urais
Yeah,umetoa hints kwa mbaaaliii mkuu.
Kama mtu amesoma kile kitabu chake cha "Partnership" atakuwa anaelewa vyema alichokuwa anasimamia mzee huyu,
Alisalitiwa na waroho wa madaraka ambao sasa wamejifanya kuwa wapinzani wakuu.
 
Hiyo detection ulimuweka wewe? ukiambiwa leta ushahidi hapa utaweza au ndio unataka ku u mislead UMMA?
Bhac mkuu nimekosa,maana watu ukweli hawataki kusikia.
Yupo huru kama JK au Karume au Salmin Amour,umefurahi sasa...!!??
 
Back
Top Bottom