Ni kama tumekuwa fooled kusahau kuwa UKIMWI bado upo

Eli Cohen

JF-Expert Member
Jun 19, 2023
1,311
4,018
Yani vijana sasa hivi ni kavu kavu huku wakiwa na fikra ya kuchukulia aids kwa uwepesi sana.

"aaah huyu haonekani kama ana ukimwi".

"aaah siku hizi sio kama zamani ukimwi haupo kirahisi rahisi".

Kama tunavyo amini siku hizi tunaweza kupatiana UTI kirahisi basi hivyo hivyo HIV/AIDS inakukamata kirahisi tu.

USE CONDOMS.
 
Vitabu vitakatitifu na babu zetu hawakuwa wajinga kutuasa tuoe (hasa bikra) na tuikwepe zinaa, yani sex ni ruhusa ila tufanye na watu tunaoaminiana, kila moja ana jukumu la usalama wa mwenzake pamoja na familia.

Haya magonjwa yamewekwa pabaya sana, shuguhuli ya dakika kadhaa inakupa majuto mpaka kifo.
 
🎵🎵🎶Usione soo Sema naye, Kuhusu Kusubiri ,Kuwa mwaminifu au Tumia kondom..🎶🎶

Ishi campaign..
F7GzV3bWMAEEgvu.jpg
 
Yani vijana sasa hivi ni kavu kavu huku wakiwa na fikra ya kuchukulia aids kwa uwepesi sana.

"aaah huyu haonekani kama ana ukimwi".

"aaah siku hizi sio kama zamani ukimwi haupo kirahisi rahisi".

Kama tunavyo amini siku hizi tunaweza kupatiana UTI kirahisi basi hivyo hivyo HIV/AIDS inakukamata kirahisi tu.

USE CONDOMS.
Ni Kweli kabisa
 
Back
Top Bottom