Ni jinsi gani earthing (Grounding) kwenye nyumba ya umeme ina complete circuit?

Na uj
Kwa mjibu wa basics za Physics, electric current itapita na kufanya kazi kama tu kuna closed path(Complete circuit).

Kwa maana hiyo kifaa chochote cha umeme kitafanya kazi kama kipo kwenye complete circuit.

Sasa naomba kujua katika lugha ya kawaida kabisa ni jinsi gani ile earth rod kwenye mfumo wa umeme humo ardhini ina complete circuit ili kufanikisha kazi ya ku-dump excess au dangerous current (s)?
Na ujiulize kwa nini ukizima msb ya line moja lakini wire hizo hizo za line hiyo ulozima ukigusishana eathing na neturo circuitbreaker inazima😆
 
Na uj

Na ujiulize kwa nini ukizima msb ya line moja lakini wire hizo hizo za line hiyo ulozima ukigusishana eathing na neturo circuitbreaker inazima😆
Practically mambo ni rahisi na vivid ila yana changanya sana.
 
Na uj

Na ujiulize kwa nini ukizima msb ya line moja lakini wire hizo hizo za line hiyo ulozima ukigusishana eathing na neturo circuitbreaker inazima😆
ngoja nikujibu kwa kadri ninavyoelewa jambo hili, Pia haya mambo kunanamna yanachanganya ila tuanzie hapa ili tupate mwanga, ikiwa umezima Mcb zote.
Ukipima ampere ya waya wa LIVE kutoka kwenye CB kwa kutumia Clamp meter, utapata 0. Vivyo hivyo, ukipima na NEUTRAL wire, utapata 0. Hii ni kwa sababu voltage (+e) na (-e) zinazopita kwenye CB zinakuwa neutralized 🤔 Sasa, unapounganisha G na N, tafsiri yake ni kwamba kiasi fulani cha (-e) kinakimbilia ardhini na hivyo kusababisha tofauti na kupoteza neutralization yake, na hivyo kupelekea CB kutrip... Nawasilisha.
 
Back
Top Bottom