ni IGP au IJP?

Shomari

JF-Expert Member
Mar 8, 2008
1,112
241
naomba kuwakilisha
 

Attachments

  • _DSC0138.JPG
    _DSC0138.JPG
    38.7 KB · Views: 101
Hata hiyo bahasha ambayo imewekwa hizo nyaraka haiendani kabisa na hadhi ya ofisi husika.

_DSC0138.JPG
 
Lakini si mmeelewa?
Kuelewa wameelewa sema wanashangaa! Na mm ninashangaa, jinsi hilo daftari lilivyojaladiwa, namkumbuka mwalimu wangu aliyetaka tujaladie daftari za somo lake kwa karatasi za khaki na tuandike juu kwa umakini so kama mlevi:sleepy:
 
Si unajuwa ndugu zetu wa ijp tokea mwanzo walikuwa wanatumia mifuko ya cement ile ya khaki tulipo jaribu kuuliza tukaambiwa lazima karatasi zifanane na magwanda yao. Hawataki kubadilika
 
yaani nyaraka zinawekwa kwenye bahasha loose namna hiyo. hapo IGP anatunzaje siri za jeshi. ndiyo maana wananchi wakikamata tu jambazi wanamhukumu kifo.
 
hivi, hiki cheo ni lazima kila anayekikalia lazima awe kilaza? ni wakati sasa umefika wa kufa na intellectual people kwenye hiyo nafasi
 
hivi, hiki cheo ni lazima kila anayekikalia lazima awe kilaza? ni wakati sasa umefika wa kufa na intellectual people kwenye hiyo nafasi

sas intellecture people watawapata kutoka wapi ikiwa qualifications ya kuajiriwa police ni Div 4 ambayo hata vyuo vya ualimu wa chekechea hawaitaki?
 
ACHENI KUWAKASHIFU POLISI WETU! unategemea nafasi za juu wanapewa hao wenye div 4? polisi wa leo si wale 1960'S,acheni kuwaita std 7,wasomi wetu sasa hivi wako jeshini kwani kuna kada la wasomi huwa wanaajiriwa kwa taaluma zao!


SIYO KILA POLISI HAJASOMA,WENGINE WASOMI ZAIDI YA WE UNAYEWADHIHAKI.
 
hivi, hiki cheo ni lazima kila anayekikalia lazima awe kilaza? ni wakati sasa umefika wa kufa na intellectual people kwenye hiyo nafasi
Huyo jamaa (IJP!) yupo vizuri tu, ila bahati mbaya kwake, kama ilivyo kwa wengine, wako kwenye wrong goverment.
 
Back
Top Bottom