lidoda
JF-Expert Member
- Apr 27, 2008
- 641
- 574
So, according to you ni haki kuwa na mpenzi nje ya ndoa!?
mie nafikiri ni haki kuwa na mpenzi nje ya ndoa. Binafsi nimeoa na nilikuwa na mpenzi ambae aliolea na mzungu. Yeye ndo aliyeanza move kwa kumpitia rafiki yake kuwa ananipenda. Baadae aliniambia kuwa ni sababu ya ugumu wa maisha ilibidi aolewe na yule mzungu. Wazazi wa mpenzi huyo walifariki na yeye akiwa ni mtoto wa kwanza na kila mdogo wake macho yalikuwa yakimtazama yeye. Na off course alifanikiwa kuiinua familia yake wakati yuko na mzungu lakini baadae tatizo kuachana na mmewe ilikuwa ni ngumu maanaalikuwa akifikiria watoto alio wazaa na mzungu.
Tulidumu kwa mda mrefu sana na huyo mdada na anashukuru sana kuwa alikuwa na mie.
Nafikiri condition kama ya huyu mdada nafikri anahaki ya kupendai