Dr Lizzy
Platinum Member
- May 25, 2009
- 30,811
- 59,367
Hahhahah...panasonic yenyewe ya mchina!ahusiano yana mambo jamani...Aksante kwa kunijuza maana nisingeelewa kabisa duh!
Kwa hayo maneno hapo chini nilishawahiambiwa mie wala sihitaji ushuhuda wa mtu mwingine ................. cpatikuelezea inaumaje mtu wako wa karibu namna hiyo awe anakwambia maneno hayo!.............halafu leo anageuka eti nisamehe cweziishi bila wewe!! Mxiii!! Panasonic mkubwa!!!