Soso J
JF-Expert Member
- Aug 17, 2011
- 1,976
- 1,220
....Amini maneno yangu,ebu jaribu kuwazia kipindi mnaanzisha uhusiano na mpenzi wako,mara ya kwanza huwa inacost saana,ghrama sio ktk matumizi ya hela au muda,vitu kama kujenga uaminifu baina yako na mwezio ni gharama kubwa kuliko hata gharama ya kuthubutu kumnunulia zawadi ya birthday,uhusiano imara unajengwa na uaminifu wa kweli daima....
Sasa leo hii tunahisi kuwa ni rahisi kuanzisha uhusiano basi tunakuwa tumekosea kbs,so naomba ndugu zangu tusiwe wepesi wa kuharakisha kuvunja mahusiano yetu na watu tunao wapenda kwakuwa unapovunjika,kurudisha uaminifu,kuanzisha mahusiano mapya pia ni gharama kubwa sana!