..ni gharama saaana kuanzisha uhusiano mpya!

lol! uko sawa kabisa. sasa kuna adapting na new coaligues, uchemshe kidogo mara docs za huku utume kule etc. new salary inaweza ikawa na mushkeli (kama sio ofc makini mra accounts wamesahau housing allowance ikakatwa kodi,lol). especially to ladies,nadhani hiii inachangia kuamua kuhang kwenye mahusiano mabaya. ndo wanasemaga ziwmi likujualo...
new relationship ni kama a new job...

kuna intrerview period,

halafu unapewa miezi mitatu ya kutazamwa utendaji kazi...halafu unaajiriwa...lol

Nashukuru kwa kinisaidia mana nilitaka kuvunja mahusiano sasa hivi! Ila katka kujifariji ikabidi niingie jf ile kufungua nakutana na hii thread! Thank u mkuu!

Kuanzisha uhusiano mpya inategemea na hali ya utayari wa watu wawili.Unakuta mtu kweli anahitaji kuwa na mpenzi fulani aje ku hata mchumba mumu au mke hapo kuwa na uhusiano ni gharama lakini its worth something bse mtu yupo tayari kuendeleza huo uhusiano.Tatizo linakuja pale ambapo mtu anatafuta mpenzi ili afanye comparison kwa yule alienae.Mfano: Unakua mwanaume ana mpenzi lakini anaona kama bado anatakiwa aendelee kuchagua vile, sasa wakati akiwa ktk huo uhusiano mpya anakutana na mapungufu kama ya kule mwanzo au zaidi au haelewi sasa yupi ni yupi,mwisho wake ndio huo inakua gharama kwake kwani anaweza kupunguza upendo pande zote mbili na mwishowe akawaacha hata hao wawili na kuendelea kuanzisha uhusiano mpya..
Mimi nimeshaona mtu fulani alikua anaendela ku mess around here and there mwishowe ikamgharimu kuanza upya.Kwa kweli inaudhi kama hujaona mtu ana speed mwanzoni kwenye certan r/ship mwishowe haonekani...hayo ndio wanaleta gharama kubwa kuzidi ya kawaida kwenye mahusiano.Ni kama mbio za hiari vile hazina malipo....

Nashukuru kwa kinisaidia mana nilitaka kuvunja mahusiano sasa hivi! Ila katka kujifariji ikabidi niingie jf ile kufungua nakutana na hii thread! Thank u mkuu!
Vunja tu wala si gharama....

Nashukuru kwa kinisaidia mana nilitaka kuvunja mahusiano sasa hivi! Ila katka kujifariji ikabidi niingie jf ile kufungua nakutana na hii thread! Thank u mkuu!
wewe hukutaka.unaonekana ulitaka kutingisha kiberiti so umeahilisha.

Nashukuru kwa kinisaidia mana nilitaka kuvunja mahusiano sasa hivi! Ila katka kujifariji ikabidi niingie jf ile kufungua nakutana na hii thread! Thank u mkuu!

kama hufurahii ni bora kuvunja kuliko kuogopa gharama.

@Bishanga tpe darasa sasa....naona mwenzetu mambo sio mabaya,lkn ujue uaminifu haujengwi kwa hela au kwa umasikini ni nafsi tu@Bebii analijiua hili ndio maaana mpk sasa nadhan yuko single....eti?@King'asti....upande wako unaonaje?@Mr.Rocky.......sasa hili suala tunalifanyaje na kuwa rahisi?kikwazo nini mpk mapenzi mengi siku hizi yametawaliwa na uongo?......yaaaani kuwa beautiful liars na handsome liars pia!!!@Lizzy....upo hapo?@Sangara....hela inaweza leta uaminifu ktk maapenzi?@Husniyo....hilo nalo neno jaman

Back
Top Bottom