Ni dalili zipi zinazoweza kuonyesha mpenzi wako kafanya tendo la ndoa kwingineko?

sospeter

Member
Apr 13, 2009
6
2
Jamaa yangu aliniuliza swali nami sikupata jawabu, alisema yafuatayo
1. je utajuaje kuwa leo mkeo au mpenzi wko amemegwa na jamaa ni dalili zipi za wazi kabisa?
a).......
b).......
c).......
d).......
n.k

2. Je ukimpata mwanamke uatajuaje kuwa anatoa tigo?

Mjadala uko wazi , tumsaidie jamaa yetu
 
It will be in the eyes and body language
Macho yatasema yote...unless awe amezowea...
 
Swali la kwanza
. Mtu wako utamjua tu unless awe mgeni kwako
1. Kuchoka bila sababu
2. Kukataa usimguse kifaragha
3. Kama atakukuta nyumbani break ya kwanza ni bafuni hata kama huko alikotoka amekoga (anahisi unawezasikia harufu isiyo yake e.g. man's perfume e.t.c.
4. Anaweza kujisemesha semesha kwa kutoa visababu vya ugonjwa e.g. kichwa au tumbo.

Ila kwa yote
1. Macho husema zaidi anaweza akawa anakwepesha kwepesha macho yake.
 
Jamaa yangu aliniuliza swali nami sikupata jawabu, alisema yafuatayo
1. je utajuaje kuwa leo mkeo au mpenzi wko amemegwa na jamaa ni dalili zipi za wazi kabisa?
a).......
b).......
c).......
d).......
n.k

...inategemeana, 'kamegwa' lini?

2. Je ukimpata mwanamke uatajuaje kuwa anatoa Tigo

...unaweza kumuuliza vile vile.
 
Mi niligundua harufu ya Condom katokwa kumegwa anakuja kwangu nimmege kupima oil nikasikia harufu ya Condom 3 Bomba harufu ya ndizi wakati nimesha msaula tayari. Akitumia hizi haina kificho mkuu utamgundua tu mi nilimpiga chini mpaka kesho hatutafutani tena.
 
Jamaa yangu aliniuliza swali nami sikupata jawabu, alisema yafuatayo
1. je utajuaje kuwa leo mkeo au mpenzi wko amemegwa na jamaa ni dalili zipi za wazi kabisa?
a).......
b).......
c).......
d).......
n.k

2. Je ukimpata mwanamke uatajuaje kuwa anatoa tigo?

Mjadala uko wazi , tumsaidie jamaa yetu

Tukusaidie au tumsaidie?
 
Naomba nijibu swali
2. Je ukimpata mwanamke uatajuaje kuwa anatoa tigo?

Muulize...."Mpenzi wangu, si kitu cha kushangaza mwanamke/msichana kufanya mapenzi kwa tigolazesheni, sijui unasemaje? unapenda?........"
Hata jibu swali, atakuuliza ...."wewe umeishawa tigolizi?...
Uwe makini kujibu, usije ukasema ndio kumbe siyo na siyo kumbe ndio wakati yeye anapenda tigo au hapendi.
 
Labda mwizi kinda ndio utamjua kwa dalili, lakini mwizi mzoefu huwezi kumtambua kwa dalili yoyote isipokuwa 'The Sixth Sense', the voice from within itakuwa liko jambo, baada ya taarifa ndipo checks za kufuatia kama macho, muulize halafu laza sikio lako kifuani kwake utasikia moyo wake unavyodunda.

kama ni kawaida yake kukuibia, akimengwa, hataki kutoa huduma kwako, ukilazimisha kiaina, atakugawiya ila you must be sensetive kusikiliza normal rythim yake, speed yake ikoje, wakati kani anakolea na akifika, huwa anafika baada ya muda gani na akifika hufanya nini.
kwa vile keshaiba na kafikishwa, ni ngumu sana kufika mara ya pili, hivyo ili usimshtukie, atajifanya anafika haraka haraka ili umalize mlale, hivyo atafake orgasm. kama wewe ni sensetive enough, utagundua anafake mjulishe feelings zako na hatarudia.
kama ni mzoefu, there is no way, kutakuwa na tatizo upande wako, humfikishi, hivyo baba, jifunze mambo, vinginevyo, utapiga, utauwa na lazima utamegewa.
 
Jamaa yangu aliniuliza swali nami sikupata jawabu, alisema yafuatayo
1. je utajuaje kuwa leo mkeo au mpenzi wko amemegwa na jamaa ni dalili zipi za wazi kabisa?
a).......
b).......
c).......
d).......
n.k

2. Je ukimpata mwanamke uatajuaje kuwa anatoa tigo?

Mjadala uko wazi , tumsaidie jamaa yetu

sospeter
Junior Member
Join Date: Mon Apr 2009
Posts: 4
Thanks: 0
Thanked 0 Times in 0 Posts

WALE WALE WALIOHAMIA HUKU BAADA YA ZE UTAMU KUFUNGWA-HIZI NDIO HAJA ZAO
 
Jamaa yangu aliniuliza swali nami sikupata jawabu, alisema yafuatayo
1. je utajuaje kuwa leo mkeo au mpenzi wko amemegwa na jamaa ni dalili zipi za wazi kabisa?
a).......
b).......
c).......
d).......
n.k

2. Je ukimpata mwanamke uatajuaje kuwa anatoa tigo?

Mjadala uko wazi , tumsaidie jamaa yetu

VERY SIMPLE

UKIACHA KUFANYA TENDO LA NDOA NJE YA NDOA YAKO;THEN UTAJUA TU KAMA UMEIBIWA AM LA...
 
niongeze swali kwa wadau mtusaidie na wanawake tuwajue wanaume wakitoka kumega nje.

Anawahi kukimbia kitandani kulala...ili usije ukaulizie mzigo ikawa noma..! Akishapiga kitu kipya nje hawezi kurudi kwenye form kwa vile Home Front command ashaizoea...tehe tehe..
 
Halafu eti unajifanya wewe sio Brian Mcknight type. Kila kukicha ni kudrop vi-pick up line uchawara kwa memba yoyote anaye-sound au mwenye jina la ki-feminine. Yaani hata mada husika huioni. Usione kichaka.......... lol

Trying to make sense of your nonsense is utterly nonsensical. Have a wonderful day.
 
Huwezi kumjua ingekuwa rahisi kumjua kama katoka kumegwa lazima ndoa nyini kwa sasa zingekuwa zimevunjika
 
Back
Top Bottom