Ni aibu, uchanga, na kukosa weledi kwa wapinzani 'kushadadia' na kutumia taarifa ya CAG kuikosoa Serikali

comte

JF-Expert Member
Dec 11, 2011
8,227
5,950
Katika demokrasia ya vyama vingi, vyama vya upinzani hutafuta madudu ya serikali na kuyatoa kwa jamii. Hapa Tanzaia vyama vyetu vya upinzani vinatumia taarifa za serikali kuikosoa serikali.

Kwa mfano taarifa ya CAG ni taarifa ya serikali ikionyesha ilivyotengeneza taasisi za kuisaidia kujisahihisha na kuonyesha kuwepo kwa uwazi. Hili la serikali kuonyesha uwazi ni jambo la kupongezwa.

Kwa maana hiyo ni aibu kubwa kwa vyama vya upinzani kuitumia kama msingi kwa kuikosoa serikali. Kwa maana nyingine kama serikali ingeamaua kutoiweka taarifa ya CAG hadharani wapinzani wasingekuwa na cha kusema.

Hii inaonyesha haviko tayari kuwa wapinzani wala kuwa chama tawala.
 
Kwahiyo tukubaliane hakuna upotevu wa fedha, alichofanya CAG ni hisia tu. CCM iendelee kuwa madarakani kwa ufanisi wake mkubwa sana wa kusimamia mapato ya serikali.
 
Mkuu uwe unasoma na kuelewa. Hicho alichosema ni matokeo ya mfumo ambao serikali ya CCM imejitengenezea ili kuisaidia kujisahihisha na inaonyesha kwa wananchi; kila mwenye macho kaona; sasa swali nyie wapinzani sauti yenu kuhusu maovu yanayotokea nchi hii iko wapi? Mkuu huwezi kujisifu kuwa umemchuna nyoka wakati kajivua gamba mwenyewe ili apate sura na muonekano mpya.
 
Katika demokrasia ya vyama vingi, vyama vya upinzani hutafuta madudu ya serikali na kuyatoa kwa jamii. Hapa Tanzaia vyama vyetu vya upinzani vinatumia taarifa za serikali kuikosoa serikali.

Kwa mfano taarifa ya CAG ni taarifa ya serikali ikionyesha ilivyotengeneza taasisi za kuisaidia kujisahihisha na kuonyesha kuwepo kwa uwazi. Hili la serikali kuonyesha uwazi ni jambo la kupongezwa.

Kwa maana hiyo ni aibu kubwa kwa vyama vya upinzani kuitumia kama msingi kwa kuikosoa serikali. Kwa maana nyingine kama serikali ingeamaua kutoiweka taarifa ya CAG hadharani wapinzani wasingekuwa na cha kusema.

Hii inaonyesha haviko tayari kuwa wapinzani wala kuwa chama tawala.
Kaa kimya basi ufiche upumbavu wako. Inamaana wewe huumii na haya madudu yaliyopo kwenye hii report?
Unataka kusema wapinzani sio watanzania hivyo wapige makofi na kuishangilia repoti hii inayotia aibu nchi? Unataka nani aisemee hii hali mbovu ya wizi serikalini? Unataka wote tupige makofi na kuupiga mwingi kama kina sufiani? Kwanza unajua kazi ya upinzani?
 
wala siumii isipokuwa naumia zaidi kwa wapinzani kushindwa kufanya kazi yao
 
Mkuu uwe unasoma na kuelewa. Hicho alichosema ni matokeo ya mfumo ambao serikali ya CCM imejitengenezea ili kuisaidia kujisahihisha na inaonyesha kwa wananchi; kila mwenye macho kaona; sasa swali nyie wapinzani sauti yenu kuhusu maovu yanayotokea nchi hii iko wapi? Mkuu huwezi kujisifu kuwa umemchuna nyoka wakati kajivua gamba mwenyewe ili apate sura na muonekano mpya.
Unajisahihishaje bila kuwepo kosa! Na kama lipo mbona hakujawahi kuchukuliwa hatua za kujisahihisha.
Ni ujinga kudhani aliyekukosoa kuwa ni mwanachama wa upinzani, utaratibu wa Simba na Yanga umewakolea.
 
Unaweza kusema nyie ccm mmefanya kazi gani kukomesha huu wizi wa kila siku? Lakini pia kama huoni kazi ya upinzani tatizo ni kubwa zaidi
  1. Tumeunda, kuiopa uwezo taasisi ya CAG kikatiba
  2. Tumeifanya taasis ya CAG kutoa taarifa kwa mamlaka na umma
  3. Tumewapa nafasi wahusika kutoa maelezo ya mapungufu yao kwa mjibu wa taarifa ya CAG
  4. Wanaobainika wanachukuliwa hatua za kinidhamu na kisheria
 
Unajisahihishaje bila kuwepo kosa! Na kama lipo mbona hakujawahi kuchukuliwa hatua za kujisahihisha.
Ni ujinga kudhani aliyekukosoa kuwa ni mwanachama wa upinzani, utaratibu wa Simba na Yanga umewakolea.
Huoni makosa yaliyotajwa na CAG kwa mfano kuwepo wa matumizi yasiyo na nyaraka au yenye nyaraka pungufu- reje ataarifa ya CAG
 
  1. Tumeunda, kuiopa uwezo taasisi ya CAG kikatiba
  2. Tumeifanya taasis ya CAG kutoa taarifa kwa mamlaka na umma
  3. Tumewapa nafasi wahusika kutoa maelezo ya mapungufu yao kwa mjibu wa taarifa ya CAG
  4. Wanaobainika wanachukuliwa hatua za kinidhamu na kisheria
Acha porojo za kisiasa, nani amewahi kuchkuliwa hatua kutokana na wizi huu wa wanaccm.
 
Katika demokrasia ya vyama vingi, vyama vya upinzani hutafuta madudu ya serikali na kuyatoa kwa jamii. Hapa Tanzaia vyama vyetu vya upinzani vinatumia taarifa za serikali kuikosoa serikali.

Kwa mfano taarifa ya CAG ni taarifa ya serikali ikionyesha ilivyotengeneza taasisi za kuisaidia kujisahihisha na kuonyesha kuwepo kwa uwazi. Hili la serikali kuonyesha uwazi ni jambo la kupongezwa.

Kwa maana hiyo ni aibu kubwa kwa vyama vya upinzani kuitumia kama msingi kwa kuikosoa serikali. Kwa maana nyingine kama serikali ingeamaua kutoiweka taarifa ya CAG hadharani wapinzani wasingekuwa na cha kusema.

Hii inaonyesha haviko tayari kuwa wapinzani wala kuwa chama tawala.
Kwa mawazo yako upinzani unatakiwa utumie taarifa ipi kuiwajibisha sirikari?
 
Back
Top Bottom