rosemarie
JF-Expert Member
- Mar 22, 2011
- 6,887
- 3,412
Huyu jamaa anaitwa TOVUTI
kwani huyu jamaa ni mwanasiasa?naomba cv yake
Huyu jamaa anaitwa TOVUTI
-Hivi huyu bwana ni Press Secretary wa Magamba? au ni wa Serikali?
-Siasa za sampuli hii ya "Upinzani" ziko Tanzania tu!
-Mwenye picha za waliohudhuria mkutano huo atuwekee tuone idadi ya "wapuuzi" wenzake.
Ni kweli imetokea ingawa ni kama utani.Juzi vyombo mbalimbali vya habari vilitangaza kwa mbwembwe kwamba chama cha UPDP kitafanya mkutano wake wa hadhara jana katika viwanja vya bakhresa manzese.Lengo likasemwa ni kuwashukuru wapiga kura na kuimarisha chama.Ilipofika jana viwanja vilipambwa kwa maandalizi ya nguvu.Sisi wengine tukajiuliza nguvu hii ya maandalizi makubwa kwa UPDP imetoka wapi? Muda ulipowadia mkutano ukaanza na mwenyekiti wa UPDP Fahm Dovutwa akapanda jukwaani.Badala ya kutangaza sera kama walivyodai,akaanza kuporomosha matusi dhidi ya chama cha Chadema na viongozi wake.Aliongea mpaka mishipa ikamtoka huku akiomba msajili wa vyama John Tendwa akawapime akili viongozi na wanachama wa chadema.Alisema atapambana na chadema mpaka mwisho ili kulinda amani ya watanzania.Nikadhani kwa upupu ule alioongea hakuna chombo cha habari ambacho kingeripoti habari ile.Lakini asubuhi magazeti pendwa ya UHURU na JAMBA LEO yameongoza na kupamba ukurasa wa mbele kwa upupu wa Dovutwa kana kwamba hakuna habari yoyote muhimu iliyotokea jana.
Mimi nadhani ifike mahali wanasiasa uchwara wanaotukana wenzao badala ya kutangaza sera za vyama vyao wazomehe kila wanapohutubia mpaka watakapoachana na tabia zao mbaya kwa vyama vingine...
Its funny!!..huyu jamaa anajiita mpinzani wakati at first alsema kura zake ziende kwa kikwete....may be hakufafanua ni mpinzani wa upinzani,hope that was the meaning,ni mchumia tumbo huyo atafanyaje na yeye anatafuta mkate wa kila siku,nashangaa sana nawadays vyama vyote vinaishambulia CHADEMA whats wrong...ndio maana mpinzani wa kweli hii nchi ni chadema tu hao wengine wote ni vibaraka..Ni kweli imetokea ingawa ni kama utani.Juzi vyombo mbalimbali vya habari vilitangaza kwa mbwembwe kwamba chama cha UPDP kitafanya mkutano wake wa hadhara jana katika viwanja vya bakhresa manzese.Lengo likasemwa ni kuwashukuru wapiga kura na kuimarisha chama.Ilipofika jana viwanja vilipambwa kwa maandalizi ya nguvu.Sisi wengine tukajiuliza nguvu hii ya maandalizi makubwa kwa UPDP imetoka wapi? Muda ulipowadia mkutano ukaanza na mwenyekiti wa UPDP Fahm Dovutwa akapanda jukwaani.Badala ya kutangaza sera kama walivyodai,akaanza kuporomosha matusi dhidi ya chama cha Chadema na viongozi wake.Aliongea mpaka mishipa ikamtoka huku akiomba msajili wa vyama John Tendwa akawapime akili viongozi na wanachama wa chadema.Alisema atapambana na chadema mpaka mwisho ili kulinda amani ya watanzania.Nikadhani kwa upupu ule alioongea hakuna chombo cha habari ambacho kingeripoti habari ile.Lakini asubuhi magazeti pendwa ya UHURU na JAMBA LEO yameongoza na kupamba ukurasa wa mbele kwa upupu wa Dovutwa kana kwamba hakuna habari yoyote muhimu iliyotokea jana.
Mimi nadhani ifike mahali wanasiasa uchwara wanaotukana wenzao badala ya kutangaza sera za vyama vyao wazomehe kila wanapohutubia mpaka watakapoachana na tabia zao mbaya kwa vyama vingine...
Huyu jamaa sijui hata alitokea wapi''Mkinipa kura zenu nitajenga kiwanda Cha Silaha Tanzania'' - Fahmi Devutwa, Presidential Candidate in 2010 Tanzania Elections.
Nafikiri jamaa yuko right kwa swala la Wanawania Urais Kupimwa akili.