Nguzo....................

imaney

JF-Expert Member
Nov 10, 2012
1,014
314
zote za ndoa,for marriage to work...there should be:

.communication between you two................,mume asiwe mkali mpk inakuwa ngumu kumwambia au kumshauri lolote,,,,hashauriki au ana dharau.............na mke kuwa na gubu hilo kisa kanywimwa hela ya saloon :becky: ,haambiliki wala hashauriki,.............nachotaka kusema.......muwe wazi kwa spouse wenu msifanye ndoa yenu kufa kibudu kwa kukosa ushirikiano,km wewe mwanaume usikimbilia nyumba ndogo kwanza,ongea na mkeo ukweli saa nyingine tunajisahau ila saa nyingine hatuwasomi yaani sisi sio mind readers tuelewe unataka nini???


hard work:maisha ni safari ndefu,it goes beyond kuvaa shela na suit,kiukweli huo ni mwanzo wa majukumu.........soon utakuwa na familia inayokuhitaji kwa hali na mali,hivyo kuwork harder ndio suluhisho,pia ulezi wa watoto ni jukumu zito sisi wazazi kwa kikristu ni miungu wa duniani,ni haki yao kulelewa kiroho wawe na wao useful to the society they are in.............

patience:usiwe na kisirani/gubu....ukisikia jambo lolote kuhusu mwenza wako usikurupuke,take your time chuya na mchele vitajionesha tu...................,


sex;sio muhimu kivileeeeeee ndio maana nimeiweka mwisho:becky::becky::becky:,wadau especially wanawake fanyeni part yenu and let the nature take its course......lol .....haina priority sababu wanawake biological clock yao inatick faster so baada ya muda hormones ya kusex itaisha unless ufanye replacement,
 
hii mambo ya kitchen party nna garage party hairuhusiwi kuwa ndefu sana..
 
Nah umekosea mkuu there should be:-

True Love on both sides.........
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom