Magombelema
Member
- Oct 11, 2011
- 15
- 4
****** anaenda iringa kuzindua mradi wa maji njombe,nasikia anakwenda mpaka ludewa.
Mkuu mayai hatuko nayo lakini mabango yapo ya kutosha na bendera za chadema zipo za kutosha katuangusha kweli kitendo cha kutokuja hapa Arusha....sijui tumwahidi suti ndiyo aje maana ni mwaka sasa kila akija anatua kia anaruka Monduli sijui hapa Mjini Arusha kunani mikutano ya EAC amehamishia Dar hii haijawahi kutokea tangu awe raisi wa nchi hii..............mmmmh wakuuu akili zangu zinacheza kama kuna kasinema wanataka kukacheza...anajua atapokelewa na mabango na mawe so wanawatangazia haji ili wasiandae mabango na mayai viza....nawashauri mabango na mayai viza yaandaliwe kama kawa...
meyawacha==nimeyaacha
najuwa==najua
Uwe makini unapokosoa wenzako!
SASA NAULIZA HIVIIII..........Hii hali ya Arusha ikisambaa nchi nzima atakimbilia wapi?
Kwa nini asiende mbeya, ningesema aende Zanzibar lakini nako kutanuka siku si nyingi.Katika hali ambayo unaweza kuitafasili kuwa joto la kisiasa la mjini Arusha dr dr dr kikwete ameingia miti licha yamatangazo ya takiribani wiki 2. Na leo asubuhi tulishuhudia magari ya matangazo akizunguka mjini ya kitujuza kuwa kesho atakuwa mjini Arusha kwenye ushanja wa Sheukh Amri Abeid lakini mchana huu gari la matangazo linapita na kutujuza atakae kuwepo ni Dr Bilal...
Je Kikwete kasoma alama za nyakati kuwa kwa sasa si salama kwake mjini Arusha? Maana vijana wameandaa mabango na bendera za CHADEMA tayari kwa kumkaribisha.
kuitafasili = kuitafsiri
makosa mengine ni ya kiufundi (spelling, coma, full stop, capital letters) zaidi. Hayo ni meyawacha kwani najuwa ni jazba kila unapomtaja kikwete.
Uziduzi wa polio ni wa kitaifa na huo mradi wa maji si wa kitaifa kama ni kweli uyasemayo basi ange angalia swala la kitaifa na je kwani imekuwani gafla au lilikuwepo kweli ratiba zake iweje tutangaziwe we mbili sasa na leo mpaka saa tano wana tangaza Kikwete atakuwepo halafu saa tatu baadae tunaambiwa Mohammed Gharib Bilal ndiyo atakae muwakilisha fisadi namba moja dr dr dr dr JM kikwe te.....acheni kutuzuga kitu kina gonga****** anaenda iringa kuzindua mradi wa maji njombe,nasikia anakwenda mpaka ludewa.
azisome vizuri maana dar na mbeya leo pamenuka...
makamu wa rais, waziri mkuu, zanzibar wako wawili kule, na wote wakistaafu hawafi mapema, wanaendelea kulipwa gharama kubwa za mafao, kwanini serikali isifirisike!we unafikiri nae hajui kusoma alama?
Kikwete ni Rais wa Kimataifa hakosi pa kukimbilia mzee!
SASA NAULIZA HIVIIII..........Hii hali ya Arusha ikisambaa nchi nzima atakimbilia wapi?
Mkuu una maana kwamba amekimbia bendera na mabango?Hivyo vinatisha usalama kweli?View attachment 41087
Katika hali ambayo unaweza kuitafasili kuwa joto la kisiasa la mjini Arusha dr dr dr kikwete ameingia miti licha yamatangazo ya takiribani wiki 2. Na leo asubuhi tulishuhudia magari ya matangazo akizunguka mjini ya kitujuza kuwa kesho atakuwa mjini Arusha kwenye uwanja wa Sheukh Amri Abeid lakini mchana huu gari la matangazo linapita na kutujuza atakae kuwepo ni Dr Bilal si kikwete tena, hali hii imewaacha watu wa Arusha na maswali mengi...
Je Kikwete kasoma alama za nyakati kuwa kwa sasa Arusha si salama kwake? Maana vijana wameandaa mabango na bendera za CHADEMA tayari kwa kumkaribisha.......
Akimtuma Yule binti itakuwa powa
hivi hichi cheo cha makamu wa rais kina umuhimu gani kwenye nchi hii, kama sio ku misuse resources za wananchi,.
mmmmh wakuuu akili zangu zinacheza kama kuna kasinema wanataka kukacheza...anajua atapokelewa na mabango na mawe so wanawatangazia haji ili wasiandae mabango na mayai viza....nawashauri mabango na mayai viza yaandaliwe kama kawa...