Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nguvu ya umma yamtisha Kikwete

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Crashwise, Nov 11, 2011.

 1. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #1
  Nov 11, 2011
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,054
  Likes Received: 705
  Trophy Points: 280
  Katika hali ambayo unaweza kuitafasili kuwa joto la kisiasa la mjini Arusha dr dr dr kikwete ameingia miti licha yamatangazo ya takiribani wiki 2. Na leo asubuhi tulishuhudia magari ya matangazo akizunguka mjini ya kitujuza kuwa kesho atakuwa mjini Arusha kwenye uwanja wa Sheukh Amri Abeid lakini mchana huu gari la matangazo linapita na kutujuza atakae kuwepo ni Dr Bilal si kikwete tena, hali hii imewaacha watu wa Arusha na maswali mengi...

  Je Kikwete kasoma alama za nyakati kuwa kwa sasa Arusha si salama kwake? Maana vijana wameandaa mabango na bendera za CHADEMA tayari kwa kumkaribisha.......
   

  Attached Files:

 2. BIG X

  BIG X JF-Expert Member

  #2
  Nov 11, 2011
  Joined: Nov 4, 2011
  Messages: 777
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Hheheehehehhe........ Aje hajipendi!!!
   
 3. Ngalikihinja

  Ngalikihinja JF-Expert Member

  #3
  Nov 11, 2011
  Joined: Sep 1, 2009
  Messages: 14,567
  Likes Received: 1,805
  Trophy Points: 280
  SASA NAULIZA HIVIIII..........Hii hali ya Arusha ikisambaa nchi nzima atakimbilia wapi?
   
 4. Mzee wa Rula

  Mzee wa Rula JF-Expert Member

  #4
  Nov 11, 2011
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 8,161
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 145
  Hakuna sababu yoyote ile iliyotolewa kuhusu kutokuja kwake? Ikiwa ni hivyo hali itakuwa ni mbaya sana.
   
 5. Msarendo

  Msarendo JF-Expert Member

  #5
  Nov 11, 2011
  Joined: Jan 29, 2011
  Messages: 6,157
  Likes Received: 247
  Trophy Points: 160
  Hivi hichi cheo cha makamu wa rais kina umuhimu gani kwenye nchi hii, kama sio ku misuse resources za wananchi,.
   
 6. L

  Lua JF-Expert Member

  #6
  Nov 11, 2011
  Joined: May 19, 2011
  Messages: 705
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  we unafikiri nae hajui kusoma alama?
   
 7. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #7
  Nov 11, 2011
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,054
  Likes Received: 705
  Trophy Points: 280
  Boston-USA
   
 8. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #8
  Nov 11, 2011
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,054
  Likes Received: 705
  Trophy Points: 280
  azisome vizuri maana dar na mbeya leo pamenuka...
   
 9. king'amuzi

  king'amuzi JF-Expert Member

  #9
  Nov 11, 2011
  Joined: Jan 10, 2011
  Messages: 612
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  hana jipya kwa watu wa Arusha atulie tu Asijekujidhalilisha bure.
   
 10. Mtumishi Wetu

  Mtumishi Wetu JF-Expert Member

  #10
  Nov 11, 2011
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 4,374
  Likes Received: 150
  Trophy Points: 160
  Isambae mara ngapi, si unasikia Mbeya mara Dar mara Babati sijui wapi atakwepa hadi lini??????????
   
 11. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #11
  Nov 11, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 31,255
  Likes Received: 5,818
  Trophy Points: 280
  Akimtuma Yule binti itakuwa powa
   
 12. rosemarie

  rosemarie JF-Expert Member

  #12
  Nov 11, 2011
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 6,679
  Likes Received: 277
  Trophy Points: 180
  kuna wakati mkweree anakuwa na maamuzi ya busara,aliona hapa sio pa kutia mguu,lakini anazipenda starehe za arusha sana tu,
   
 13. DOUGLAS SALLU

  DOUGLAS SALLU JF-Expert Member

  #13
  Nov 11, 2011
  Joined: Nov 13, 2009
  Messages: 7,267
  Likes Received: 1,255
  Trophy Points: 280
  Kwa Camerun
   
 14. B

  Baba Collins JF-Expert Member

  #14
  Nov 11, 2011
  Joined: Sep 24, 2011
  Messages: 492
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Kwa sasa hana ujanja zaidi ya kuachia ngazi kiustaarabu kama Thabo Mbeki.
   
 15. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #15
  Nov 11, 2011
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 24,110
  Likes Received: 601
  Trophy Points: 280
  Nilijua hawezi kwenda huko
   
 16. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #16
  Nov 11, 2011
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 50,104
  Likes Received: 9,811
  Trophy Points: 280
  ....labda atakimbilia Saudi Arabia.
   
 17. Ikwanja

  Ikwanja JF-Expert Member

  #17
  Nov 11, 2011
  Joined: Jul 12, 2011
  Messages: 1,684
  Likes Received: 65
  Trophy Points: 145
  Hata mimi nilijua hawezi kwenda AR, kwa sababu mambo bado mabichi
   
 18. Manyanza

  Manyanza JF-Expert Member

  #18
  Nov 11, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 4,447
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  analo yaani ashaanza kuishi kama mtumwa ndani ya nchi yake?
   
 19. Gwallo

  Gwallo JF-Expert Member

  #19
  Nov 11, 2011
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 2,003
  Likes Received: 269
  Trophy Points: 180
  Mkuu CW, Arusha si mahali pazuri kwa mafisadi kufikia kwa sasa. Sijui hata huyo nisiyejua kazi yake anakuja kutafuta nini?
   
 20. MADAM T

  MADAM T JF-Expert Member

  #20
  Nov 11, 2011
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 1,956
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 145
  Mi nadhani hajui kabisa kuzisoma, maana kama anajua asingethubutu kuchakachua mwaka jana, wacha ayaone....
   
Loading...