Nguvu ya Punyeto na kujichua katika Ulimwengu wa Roho

Hapa nilittaka kuwasha kamoja, naona mkuyenge umelala baada ya kusoma Uzi huu

Baadaye ulete njia ya kuacha Basi kiongozi. Huenda ukatusaidia waathirika wa kupanda mnazi.
Achana na manabii wa uongo atupe ushahidi wa andiko kwenye biblia..Kama hakuna neno Hilo kwa andiko lake atueleze katoa wapi?
 
Usituletee hadithi neno lipo kwenye maandiko?,tupe ushahidi wa andiko la kwenye biblia sio mawazo yako,halafu punyeto hawafanyi wanaume tu na wanawake pia au wasichana ..unamshauri nini binti yako wa form one njia gani atumie kuondoa nyege zake?
Sipo kwa ajili ya mashindano yasiyo faida. Ingekuwa una nia njema ungesoma tangu mwanzo, wala usingeuliza maswali hayo. Nenda kwenye thread za masihara zitakufaa. Waache wapendao hadithi wafuatilie uzi huu
 
Achana na manabii wa uongo atupe ushahidi wa andiko kwenye biblia..Kama hakuna neno Hilo kwa andiko lake atueleze katoa wapi?
Eleza kweli yako basi. Mwana wa ufalme wa giza, unayeshabikia dhambi. Tubu ujirudi, huo ndio ushauri wangu kwako. Kama unaona kupiga punyeto ni sawa, hamia jukwa la wakubwa mkapeane mbinu huko. Huku utapoteza bando lako bure hakukufai.
 
Ni kweli kabisa. Hakuna kitu hatari kama Punyeto.
Mara nyingi punyeto husababisha mental issues like depression, anxiety etc.
Ni kitu hatari sana
 
Ni uchaguzi wako kuamini au la, mimi nimeamua kujilipua ili wengine wapone. Mwenyezi Mungu anajua ya kuwa nasema kweli kabisa kwa utukufu wake.
Pole Ila ulikuwa tu na pepo,Mimi nikipiga punyeto toka nipo shule,nimesoma,nikafaulu vizuri,Nina biashara zangu zinakwenda vizuri na sasa nimeoa na watoto 4...hayo yalikuwa mapepo uliyokuwa nayo
Eleza kweli yako basi. Mwana wa ufalme wa giza, unayeshabikia dhambi. Tubu ujirudi, huo ndio ushauri wangu keako. Kama unaona kupiga punyeto no sawa, hamia jukwa la wakubwa mkapeane mbinu huko. Huku utapoteza bando lako bure hakukufai.
Acha kukurupuka sijasema ni sawa nilichopinga kuhusanisha punyeto na nguvu za giza,hakuna blabla kwenye Mambo ya kiroho ndio maana nimeuliza udhibitisho wa Hilo katika andiko mbona simple tu unakasirika nini?
 
Sipo kwa ajili ya mashindano yasiyo faida. Ingekuwa una nia njema ungesoma tangu mwanzo, wala usingeuliza maswali hayo. Nenda kwenye thread za masihara zitakufaa. Waache wapendao hadithi wafuatilie uzi huu
Andiko lako halihusiani na nguvu za giza,kisayansi punyeto Ina madhara kwa mtumiaji kwa kuwa akili yake ikizoea Sana Hilo tendo inamuadhiri kwenye mahusiano na hata wakati mwingine upungufu wa nguvu za kiume....na hata kwa wanawake hamu ya tendo na mwanaume hupungua,lakini hali uliyokutana nayo wewe ndio nguvu za giza na upumbavu ndani yake...wangapi humu wamepiga punyeto mashuleni na kabla hawajaoa na wanaendelea vyema kwenye maisha kwa sasa? Unachofanya ni kuweka uoga kwa watu usiokuwepo na kutaka kushawishi roho za uzinzi kwa vijana wasiooa...kwa akili yako lengo lako ni nini hasa zaidi ya kutaka kuhamasisha ngono? Acha kutisha watu yaliyokutokea hayana uhusiano na punyeto kabisa
 
Pole Ila ulikuwa tu na pepo,Mimi nikipiga punyeto toka nipo shule,nimesoma,nikafaulu vizuri,Nina biashara zangu zinakwenda vizuri na sasa nimeoa na watoto 4...hayo yalikuwa mapepo uliyokuwa nayo

Hongera, basi nikushauri hii thread hasi kuhusu. Tafuta ambayo itaendana na wewe, waache ambao wameteseka na ambao hawajaingia huko bado ili wapate mwanga. Kwa kuwa umejihesabia haki, ya kwamba unafanya hayo nawe ni mzima tu, usipoteze tena bando lako. Kumbuka Yesu alipigwa vita na waliojidhani wanaishika torati, so it's up to you. Anzisha mada ya faida za kupiga punyeto nawe utaeleza raha yake huko. Kwa heri

Acha kukurupuka sijasema ni sawa nilichopinga kuhusanisha punyeto na nguvu za giza,hakuna blabla kwenye Mambo ya kiroho ndio maana nimeuliza udhibitisho wa Hilo katika andiko mbona simple tu unakasirika nini?[/QUOTE]

Soma thread yote, usirukie kwa mbele. Unajua nini kuhusu mambo ya kiroho?
 
Andiko lako halihusiani na nguvu za giza,kisayansi punyeto Ina madhara kwa mtumiaji kwa kuwa akili yake ikizoea Sana Hilo tendo inamuadhiri kwenye mahusiano na hata wakati mwingine upungufu wa nguvu za kiume....na hata kwa wanawake hamu ya tendo na mwanaume hupungua,lakini hali uliyokutana nayo wewe ndio nguvu za giza na upumbavu ndani yake...wangapi humu wamepiga punyeto mashuleni na kabla hawajaoa na wanaendelea vyema kwenye maisha kwa sasa? Unachofanya ni kuweka uoga kwa watu usiokuwepo na kutaka kushawishi roho za uzinzi kwa vijana wasiooa...kwa akili yako lengo lako ni nini hasa zaidi ya kutaka kuhamasisha ngono? Acha kutisha watu yaliyokutokea hayana uhusiano na punyeto kabisa
Upumbavu ni hicho ukisemacho wewe. You know why? This isn't a scientific thread, hii ni thread ambayo ni spiritual. Jifunze kutambua mambo upate kuheshimika, usiwe mwenye kukurupuka.

NARUDIA TENA, KAMA PUNYETO IKO VEMA KWAKO, ENDELEA. Then acha wajinga wasome hiki, sina nafasi ya kubishana na mtu asiye na hoja. Unachoandika wala hakistahili kujadiliwa kwa sababu huna hekima. Wako watu wamefanya ujambazi na walitajirika, ukiwaambia ujambazi ni mbaya watakuja ma akili kama zako. Wako ambao walihujumu uchumi leo ni mabilionea, kwa akili zako huwezi kuwaambia uhujumu uchumi ni hatari. Tumia kichwa chako kufanya logical reasoning halafu uje na hoja za msingi, sio mradi uonekane umepinga. FICHA UPUMBAVU WAKO!!
 
Mkuu toa solutions juu ya waliokubuhu kwenye hili jambo na wanataka kutoka huko
Upumbavu ni hicho ukisemacho wewe. You know why? This isn't a scientific thread, hii ni thread ambayo ni spiritual. Jifunze kutambua mambo upate kuheshimika, usiwe mwenye kukurupuka.

NARUDIA TENA, KAMA PUNYETO IKO VEMA KWAKO, ENDELEA. Then acha wajinga wasome hiki, sina nafasi ya kubishana na mtu asiye na hoja. Unachoandika wala hakistahili kujadiliwa kwa sababu huna hekima. Wako watu wamefanya ujambazi na walitajirika, ukiwaambia ujambazi ni mbaya watakuja ma akili kama zako. Wako ambao walihujumu uchumi leo ni mabilionea, kwa akili zako huwezi kuwaambia uhujumu uchumi ni hatari. Tumia kichwa chako kufanya logical reasoning halafu uje na hoja za msingi, sio mradi uonekane umepinga. FICHA UPUMBAVU WAKO!!
Hakuna spiritual effect kwenye punyeto kilichokutokea wewe hakihusiani kabisa..na ndio maana unakuwa mwepesi kukasirika,hatuhitaji longolongo kwenye inshu za kiroho,tunaongozwa kupitia neno la Mungu tupe ushahidi acha hasira.wewe hadi kuunganisha punyeto na inshu ya kiroho umetoa wapi?
 
Achana na watu ambao hawako interested na hii mada mkuu,naona unapoteza muda mwingi sana kujibishana nao wakati kiuhalisia wameamua kushikilia na kuendelea na kile wanachokiamini,kwahiyo huwezi kuwabadilisha...
 
TOKA KWENYE THREAD. OFF TO YOU.
 
Asante sana, nimekusoma mkuu, tuko pamoja.
 
TOKA KWENYE THREAD. OFF TO YOU.
Sawa natoka Ila muombe Mungu akupe hekima na ufahamu wa kujua vyanzo vya Kila matukio yanayotokea kwenye maisha yako.Ujue utofauti wa Vita ya kimwili na ulimwengu wa kiroho..tatizo lako halikusababishwa na punyeto muombe Mungu akujulishe chanzo cha shida yako katika ulimwengu wa kiroho...matatizo yanayosababishwa na punyeto yapo ni mengi lakini usiongeze neno ambalo Mungu hakuliweka ili tu ufurahishe nafsi yako.acha Mambo ya kiroho yaende kiroho na kimwili yawasilishe kimwili ...natoka sawa kwa heri
 
Back
Top Bottom