Lucchese DeCavalcante
JF-Expert Member
- Jan 10, 2009
- 5,471
- 734
Nimeikuta hii kwenye moja ya ofisi za serikali je sheria hii inafanya kazi kweli? Maana naona nguo za namna hiyo wadada na wakaka makazini tena serikalini wanazipiga kama kawa...
itabidi watu waanze kupata cloths allowance.
Ile Fashion label maarufu ya MCapa Mweezy Wear inashauri badala yake wanaume wavae zoot suit na wanawake watumie burka ...
View attachment 14087View attachment 14088
Nakumbuka afisa utawala wetu aliyekuja na hiyo kopi kutuelekeza jinsi ya kuvaa na yeye akiwa amevaa jinsi hiyo iliyokatazwa.
Duh mbaba ndani ya suti ya pink:becky::becky:
Dah!!
Nilikuwa sijui kuwa serikali ya Tanzania nayo ina dress code. Sasa watu watanunua wapi suti iwapo mishahara yenyewe ni kiduchu namna hiyo; au labda hata mitumba ni ruksa tu.
I am skeptic kama hilo tangazo wao wenyewe wanafuatilia hayo maadili since 2007 sasa hivi 2010 lazima kuna mabadiliko fulani tena ya hali ya juu ya uvaaji wa nguo otherwise waseme wanawapa allowances for clothes
maisha magumu unajua,na nguo kama hizo tunazipata kwa bei raisi mtumbani karume,ilala,tandika ndo maana tutazivaa hizo hizo na tunazivaa hizo hizo