Nguo hizi marufuku kwa wake na waume kazini

Lucchese DeCavalcante

JF-Expert Member
Jan 10, 2009
5,471
733
Nimeikuta hii kwenye moja ya ofisi za serikali je sheria hii inafanya kazi kweli? Maana naona nguo za namna hiyo wadada na wakaka makazini tena serikalini wanazipiga kama kawa...

2zf3bth.jpg


afasgl.jpg
 
I am skeptic kama hilo tangazo wao wenyewe wanafuatilia hayo maadili since 2007 sasa hivi 2010 lazima kuna mabadiliko fulani tena ya hali ya juu ya uvaaji wa nguo otherwise waseme wanawapa allowances for clothes
 
Nakumbuka afisa utawala wetu aliyekuja na hiyo kopi kutuelekeza jinsi ya kuvaa na yeye akiwa amevaa jinsi hiyo iliyokatazwa.
 
Mimi naomba kama kuna mwenye hiyo "circular" ya mavazi katika utumishi wa umma atupatie tuioone tusije kuwa tunavunja maadili ya kazi halafu tunashupalia wengine wanovunja maadili ya uongozi !
 
maisha magumu unajua,na nguo kama hizo tunazipata kwa bei raisi mtumbani karume,ilala,tandika ndo maana tutazivaa hizo hizo na tunazivaa hizo hizo
 
Wawapime watu kwa uwezo wa kufanya kazi na siyo mavazi ya heshima
 
Ile Fashion label maarufu ya MCapa Mweezy Wear inashauri badala yake wanaume wavae zoot suit na wanawake watumie burka ...

Niqab_vs_Batman.jpg 12148ZootSuitWeb.jpg
 
Nakumbuka afisa utawala wetu aliyekuja na hiyo kopi kutuelekeza jinsi ya kuvaa na yeye akiwa amevaa jinsi hiyo iliyokatazwa.

This just goes to show you that there are two multiverses in Tanzania. One the lofty policy based, and two the real life one.

Kama hii ingekuwa inafuatiliwa majority ya "Usalama wa Taifa" wangekuwa hawana kazi.

But then again, "Usalama wa Taifa" hawana rules, even after Mkapa institutionalizing them.

Which just goes to confirm that there are two multiverses in Tanzania. Your "Afisa Utawala" might very well be a "spook", or an aspiring civil servant anyway.
 
Dah!!

Nilikuwa sijui kuwa serikali ya Tanzania nayo ina dress code. Sasa watu watanunua wapi suti iwapo mishahara yenyewe ni kiduchu namna hiyo; au labda hata mitumba ni ruksa tu.
 
:becky:Hang on! kwani tangu lini TZ sheria ikafuatwa??? Bosi ndio siku zote kinara wa kuanza kuvunja sasa mnategemea wafanyakazi wafuate?? we ngoja wakinipa ubosi pale ustawi wa jamii ntaanza kazi na bakora yangu maana kwa wabongo naona ndio itakuwa dawa nzuri ya kuwatawala!:confused2:
 
Dah!!

Nilikuwa sijui kuwa serikali ya Tanzania nayo ina dress code. Sasa watu watanunua wapi suti iwapo mishahara yenyewe ni kiduchu namna hiyo; au labda hata mitumba ni ruksa tu.

Hata mimi nilikuwa sijui kama jamaa wana dress code....
 
Hijabu je? Maana kule France inaelekea kuwa banned. Rastafari wanaruhusiwa kuwenda ofisini na dreadlocks zao?
 
Hivi ni mavazi tu kama maandishi yanavyosema au na namna ya kutembea na kusimama kama picha zinavyoelezea?!
 
I am skeptic kama hilo tangazo wao wenyewe wanafuatilia hayo maadili since 2007 sasa hivi 2010 lazima kuna mabadiliko fulani tena ya hali ya juu ya uvaaji wa nguo otherwise waseme wanawapa allowances for clothes

Kwa baadhi ya watumishi wa serikali hasa makatibu muhtasi, wahudumu na madereva wanazo sare. Kwa maofisa wanapata baada ya muda fulani (I hope was after every three years) ukisafiri nje ya nchi kikazi unapata outfit allowance basi kama utatumia kununuliwa mavazi basi moja kwa moja utayatumia hapa hapa nchini ukisharudi. Ni kweli suala la uvaaji ni tatizo kwa ofisi zetu hata private is also important. Ni suala la maadili tu.

 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom