Kwani jioni mbali?Tutawajua basi nyie CUF!CCM,CCM,nakereka kweli kuiita Yanga CCM,mbona basi huyo Rage wenu hamumfukuzi,si ni CCM,tena yuko tayari kufanya lolote kwa ajili ya CCM,si mnakumbuka kule Igunga alivyotinga na mguu wa kuku kwenye kampeni za CCM!Mbona hata siku moja sijawahi kumuona Uwanja wa TAIFA akiwa na hiyo silaha,it means anaipenda sana CCM (Yanga) kuliko Simba!
Msiulize majibu mkitarajia kujibiwa, leo Mnyama anakula mtu. Hao yanga kujiita CCM ni wenyewe wanajitakia wala hakuna anayewaita. Ndiyo maana Mbowe alijitoa kwenye "Yanga Familly" ingawa kiukweli mashabiki wengi wa Yanga nao pia ni CCM na mashabiki wengi wa Simba kwa asili walikuwa na wako kinyume na CCM. Uliza tangu enzi za kina Jimmy Ngonya na Emanuel Makaidi!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.