Achana nae...Wewe ni kawaida yako kuponda kila kitu, so maneno yako wala hayanivunji moyo katika harakati za kuidai Haki...Sema chochote uwezacho kusema dadangu...Hata ukitaka kutukana wewe tunakana tu, si kinywa ni chako! Aluta Continua.....
Wewe ni kawaida yako kuponda kila kitu, so maneno yako wala hayanivunji moyo katika harakati za kuidai Haki...Sema chochote uwezacho kusema dadangu...Hata ukitaka kutukana wewe tunakana tu, si kinywa ni chako! Aluta Continua.....
Mzee mwanakijiji can you be specific on this?
Hana sababu ya kwenda; kama Polisi wanamuona ni mtuhumiwa waende mahakamani wapate warrant wamkamate ili wamhoji mbele ya wakili wake. Kwanini ajitolee? Kama ni wito wa kawaida ana uhuru wa kukataa kuitikia; kama Polisi wanaamini wana sababu ya kumhoji waende kumkamata. Watanzania wanawaendekeza sana hawa polisi. Polisi akija nyumbani kwako na kukuambia "njoo nje" mtu anatoka kisa? ati ni Polisi!! Polisi akikuambia njoo nikupekue mtu anavua hadi nguo!
ushauri makini, Nimependa ufafanuzi huu. Kumbe kisheria mtu anahaki ya kugomea wito wa Police ? Mpaka wapate warant ya mahakama . . . .
Mbona unajitetea "kufa kishujaa" mapema mno? kwani uliambiwa unakwenda kuuliwa?, au unaongelea ushujaa wa kuandaa maandamano kwa ajili ya mtu aliyekiuka amri ya mahakama?
Hivi ushujaa mnausikia au mnaujuwa ni nini? Nakusitikia sana kwa kuwa unafikra potofu za kutaka kuisaidia nchi yako kwa njia zisizo stahiki. Tanzania, na uchanga wake lakini ni nchi yenye demokrasia ya hali ya juu kulinganisha na nchi nyingi duniani. Na tunaona demokrasia ikizidi kushamiri hususan kipindi hiki cha awamu ya nne. Hivi mnafikiri kuvunja amani au kujidai uhodari ndio demokrasia?
Nilifikiri kuwa watu makini mngetumia "a more scientific approach" kuliko mbinu ambazo hazina tija kwa sasa. Haitotokea wala usijipotezee wakati kudhani kwamba kuna siku mtaichukuwa hii nchi kwa mabavu. Wananchi waliopiga kura zao na kwa wingi wao walichaguwa viongozi ambao wanaona wao wanawafaa, iwe wa chama chochote kile, hamuwezi leo kuja na kujidai mashujaa kwa kuivuruga demokrasia yetu.
Nenda kwa usalama ukajibu maswali, na tunakuombea iwe kweli kama ulivyosema kuwa hukuhusika na uvunjifu wa amani na usijidai kufanya ubishi usio na mpango huko uendako. Fata sheria na usifanye mzaha na nguvu za dola, si uliona juzi juzi walimsweka ndani Mwenyekiti?
Kumbuka, utajuta utakapoona kwamba hao wanasheria unaowategemea wanaingia mitini, kwa kuwa tu huna kitu, hapo ndipo utapojuwa kuwa unazugwa tu na wachache wenye uchu wa madaraka.
Wakuu kila siku me huwa nasema mkiona huyu Faiza ameandika comment ni kumuacha na ku ignore comment zake hana jipya zaidi tukimjibu tunapoteza muda wetu.
Wenzetu mnaruhusu wake wengi kwa mume mmoja. Wewe una wake wenzako wangapi?...Hivi ushujaa mnausikia au mnaujuwa ni nini? ...
Kauli ya pandikizi la Nape na mmoja wa vibaraka wa vibakauchumi ambao Nape anatamba amewapadikiza kwenye blogs mbalimbali ikiwemo hii ya JF.Mbona unajitetea "kufa kishujaa" mapema mno? kwani uliambiwa unakwenda kuuliwa?, au unaongelea ushujaa wa kuandaa maandamano kwa ajili ya mtu aliyekiuka amri ya mahakama?
Hivi ushujaa mnausikia au mnaujuwa ni nini? Nakusitikia sana kwa kuwa unafikra potofu za kutaka kuisaidia nchi yako kwa njia zisizo stahiki. Tanzania, na uchanga wake lakini ni nchi yenye demokrasia ya hali ya juu kulinganisha na nchi nyingi duniani. Na tunaona demokrasia ikizidi kushamiri hususan kipindi hiki cha awamu ya nne. Hivi mnafikiri kuvunja amani au kujidai uhodari ndio demokrasia?
Nilifikiri kuwa watu makini mngetumia "a more scientific approach" kuliko mbinu ambazo hazina tija kwa sasa. Haitotokea wala usijipotezee wakati kudhani kwamba kuna siku mtaichukuwa hii nchi kwa mabavu. Wananchi waliopiga kura zao na kwa wingi wao walichaguwa viongozi ambao wanaona wao wanawafaa, iwe wa chama chochote kile, hamuwezi leo kuja na kujidai mashujaa kwa kuivuruga demokrasia yetu.
Nenda kwa usalama ukajibu maswali, na tunakuombea iwe kweli kama ulivyosema kuwa hukuhusika na uvunjifu wa amani na usijidai kufanya ubishi usio na mpango huko uendako. Fata sheria na usifanye mzaha na nguvu za dola, si uliona juzi juzi walimsweka ndani Mwenyekiti?
Kumbuka, utajuta utakapoona kwamba hao wanasheria unaowategemea wanaingia mitini, kwa kuwa tu huna kitu, hapo ndipo utapojuwa kuwa unazugwa tu na wachache wenye uchu wa madaraka.
CDM munasumbua sana dawa yenu ni kuwaweka ndani
Kama Chadema "legal team" wamekushauri uende kituoni na wao wana matatizo.