Wanaolia teuzi za Rais Samia wameshaisahau Awamu ya Tano na tuhuma za 'Kanda Maalum'

Phillipo Bukililo

JF-Expert Member
Dec 29, 2015
18,488
13,608
Binadamu husahau mapema sana. Nimekisikiliza kilio cha Msomi Kitwanga na nikagundua ni kinyongo halisi kinachokuwa katika maongezi ya kundi zima lililokuwa nyuma ya hayati JPM miaka ile akiwa ikulu.

Na maisha yanakwenda kasi sana. Wahenga tunaoazima mara nyingi busara zao wanayo misemo kuhusiana na huu unyonge walionao waliokuwa karibu na awamu ya tano katika kipindi hiki cha awamu ya sita. Utadhani sio wao waliokuwa wakilaumiwa kwa tabia hii hii inayoonekana kufanyika katika awamu ya sita.

Zipo tuhuma za chini kwa chini juu ya mambo mengi ya kikabila yaliyokuwa yakifanyika katika awamu ya tano. Halmashauri karibu zote nchini zilikuwa zikiongozwa na watu wa kabila la wasukuma na kibaya zaidi wakawa na tabia zile zie za kutaka kuonea watu wa makabila mengine.

Vikishamalizika tu vikao vya halmashauri ambavyo wao ni wengi kwa kubeba na kiongozi mkuu, wanaanza vikao vingine vya kwao wenyewe ambavyo lugha inayotumika humo inakuwa ni kisukuma kitupu!!.

Uongozi mzima kwa maana ya ule wa ngazi za kiutawala(kina TAMISEMI) ukawa ukikwazika na hulka hizi mpya. Majirani zangu hawa wa kanda ya ziwa wanayo ile superiority complex basi likawa ni tatizo juu ya tatizo.

Na binadamu tumeumbwa kujisahau, kumbe siku za hayati JPM juu ya uso wa ardhi hazikuwa zimebakia nyingi kama walivyokuwa wakijiaminisha, wakajikuta wameingiwa na ukiwa usioweza kuelezeka.

Hizi kelele nyingi zinazosikika miezi hii wakati SSH akija na mitazamo yao serikalini ni mchanganyiko wa huzuni/ukiwa/majuto na hasira za kwanini mkate wetu unatukimbia tena mchana kweupe mbele ya macho yetu.

Ndio serikali zinavyoendeshwa tuwe wapole tu. Tena awamu zote sita ni za chama kimoja, hivyo mtu anapokuja na malalamiko yake akumbuke kuwa SSH ni mpokeaji tu wa kijiti kutoka kwa hayati JPM, aliyepokea kijiti kutoka kwa JMK aliyepokea kijiti kutoka kwa hayati BWM na imekuwa ni desturi ya miaka na miaka kupokezana vijiti kwa njia ya amani na utulivu huku rais mpya akiapishwa mbele ya halaiki ya watu katikati ya uwanja wa mpira.

Tuwe wapole tu, ni nchi yenye amani na utulivu lakini misuguano midogo midogo lazima iwachubue watu na wajikute wamechunika ngozi zao hivyo kulialia sana pengine ni kusahau tu kuwa jana walikuwa nyuma ya mshika kijiti mkuu aliyetangulia mbele za haki.
 
Kwaiyo kama Magufuli alikosea na yeye Samia akosee. Kwanini anateua Mawaziri wa wengi kutoka Pwani, Tanga na Zanzibar na kuacha Mikoa mingine ambayo ndiyo mtaji wa kura za CCM. Pwani peke yake ina Mawaziri 5, Tanga 3 na Zanzibar 5 wakati Mikoa ya Tabora 0, Rukwa 0 nk.

Huko alikoelekeza nguvu ndiyo watampigia kura na ata wakipiga wapo wangapi?
 
Nakumbuka IGP, Chief Justice, CAG, CDF, AG, Bandari, AT, BOT, Fedha.

Kwa mfano tu. Ni kwa mfano tu
 
Kwaiyo kama Magufuli alikosea na yeye Samia akosee. Kwanini anateua Mawaziri wa wengi kutoka Pwani, Tanga na Zanzibar na kuacha Mikoa mingine ambayo ndiyo mtaji wa kura za CCM. Pwani peke yake ina Mawaziri 5, Tanga 3 na Zanzibar 5 wakati Mikoa ya Tabora 0, Rukwa 0 nk.

Huko alikoelekeza nguvu ndiyo watampigia kura na ata wakipiga wapo wangapi?
"hata msipoipa kura ccm itashinda", hii kauli unaikumbuka?,alitoa b maza siku za nyuma.
 
Tuwe wapole tu, ni nchi yenye amani na utulivu lakini misuguano midogo midogo lazima iwachubue watu na wajikute wamechunika ngozi zao hivyo kulialia sana pengine ni kusahau tu kuwa janawa walikuwa nyuma ya mshika kijiti mkuu aliyetangulia mbele za haki.
Ujumbe murua uwafikie wote waliokuwa nyuma ya mshika kijiti wa wakati husika,🤔
 
Binadamu husahau mapema sana. Nimekisikiliza kilio cha Msomi Kitwanga na nikagundua ni kinyongo halisi kinachokuwa katika maongezi ya kundi zima lililokuwa nyuma ya hayati JPM miaka ile akiwa ikulu.

Na maisha yanakwenda kasi sana. Wahenga tunaoazima mara nyingi busara zao wanayo misemo kuhusiana na huu unyonge walionao waliokuwa karibu na awamu ya tano katika kipindi hiki cha awamu ya sita. Utadhani sio wao waliokuwa wakilaumiwa kwa tabia hii hii inayoonekana kufanyika katika awamu ya sita.

Zipo tuhuma za chini kwa chini juu ya mambo mengi ya kikabila yaliyokuwa yakifanyika katika awamu ya tano. Halmashauri karibu zote nchini zilikuwa zikiongozwa na watu wa kabila la wasukuma na kibaya zaidi wakawa na tabia zile zie za kutaka kuonea watu wa makabila mengine.

Vikishamalizika tu vikao vya halmashauri ambavyo wao ni wengi kwa kubeba na kiongozi mkuu, wanaanza vikao vingine vya kwao wenyewe ambavyo lugha inayotumika humo inakuwa ni kisukuma kitupu!!.

Uongozi mzima kwa maana ya ule wa ngazi za kiutawala(kina TAMISEMI) ukawa ukikwazika na hulka hizi mpya. Majirani zangu hawa wa kanda ya ziwa wanayo ile superiority complex basi likawa ni tatizo juu ya tatizo.

Na binadamu tumeumbwa kujisahau, kumbe siku za hayati JPM juu ya uso wa ardhi hazikuwa zimebakia nyingi kama walivyokuwa wakijiaminisha, wakajikuta wameingiwa na ukiwa usioweza kuelezeka.

Hizi kelele nyingi zinazosikika miezi hii wakati SSH akija na mitazamo yao serikalini ni mchanganyiko wa huzuni/ukiwa/majuto na hasira za kwanini mkate wetu unatukimbia tena mchana kweupe mbele ya macho yetu.

Ndio serikali zinavyoendeshwa tuwe wapole tu. Tena awamu zote sita ni za chama kimoja, hivyo mtu anapokuja na malalamiko yake akumbuke kuwa SSH ni mpokeaji tu wa kijiti kutoka kwa hayati JPM, aliyepokea kijiti kutoka kwa JMK aliyepokea kijiti kutoka kwa hayati BWM na imekuwa ni desturi ya miaka na miaka kupokezana vijiti kwa njia ya amani na utulivu huku rais mpya akiapishwa mbele ya halaiki ya watu katikati ya uwanja wa mpira.

Tuwe wapole tu, ni nchi yenye amani na utulivu lakini misuguano midogo midogo lazima iwachubue watu na wajikute wamechunika ngozi zao hivyo kulialia sana pengine ni kusahau tu kuwa jana walikuwa nyuma ya mshika kijiti mkuu aliyetangulia mbele za haki.
Machungu ya SUKUMANIZATION ya hii nchi yatachukua miaka kumi hadi kumi na tano ili kuweza kusawazisha mambo aisee
 
Sasa wewe muhangaza wa rusumo na mkimbizi kutoka Burundi unawezaje kuhoji uhalali wa mtanzania mzawa?
 
Kwaiyo kama Magufuli alikosea na yeye Samia akosee. Kwanini anateua Mawaziri wa wengi kutoka Pwani, Tanga na Zanzibar na kuacha Mikoa mingine ambayo ndiyo mtaji wa kura za CCM. Pwani peke yake ina Mawaziri 5, Tanga 3 na Zanzibar 5 wakati Mikoa ya Tabora 0, Rukwa 0 nk.

Huko alikoelekeza nguvu ndiyo watampigia kura na ata wakipiga wapo wangapi?
Hao waliochaguliwa kama wanao uwezo wa kazi na ubunifu hizo kura wala sio tatizo.
 
Lawama ni lazima haijalishi maana kama kachagua pwani tupu basi ni kosa ,kama asingechagua ungesikia kwamba watu wa Pwani hawana elimu ndo maana hawapo ila leo wapo kelele kibao .
Wanaumia, walitamani waendelee kuwa juu lakini wanajikuta wakikumbushwa kuwa maisha ni mapito tu.
 
Nani anaweza kulileta baraza la mawazili la jpm hapa ili tujue ni mkoa gn wa wasukuma ulikuwa na mawazili wengi?
 
Back
Top Bottom