Ng'hily Kuhojiwa na Police Kanda Maalum


Nimefika nikiambatana na makamanda wenzangu wawili toka makao makuu,tukaulizia ofic ya RCO tukaelekezwa na kwa bahati mbaya hatukumkuta.Ila chumba cha pili kulikuwa na askari wa3 ambao walituambia tumpigie simili atupe maelezo mengine,sisi tukajibu kuwa tumefika kuitikia wito so kama aliyetuita hayupo basi tunaondoka na kama atatuhitaji aimini atanihitaji basi police itoe arrest warrant vinginevyo ctaenda tena coz hii ni kupotezeana muda.So imeishia hapo mkuu.....

Kamanda pole kwa usumbufu, uhuru wa kiuchumi ni mgumu kuliko wa kisiasa. Pigana makamanda tupo hai. Usihofu hata wakikufunga. Nia njema hulipa siku zote. Ni heri ubakie mioyoni mwa watu kuliko utajiri na kusahaulika kama uozo.
 
Back
Top Bottom