Ng'hily Kuhojiwa na Police Kanda Maalum

Hivi katika maandamano yako uliyoaandaa madai yako hasa ni nini?

Hutaki Mbowe akamatwe kwa kukataa amri halali ya mahakama? (yaani kiongozi haheshimu mahakama?, anaonyesha nini wananchi

Nini malengo yako binafsi ya kuandamana unataka kufanikisha nini kwa taifa lako (acha urafiki wako na ushabiki wako wa chama)

Umezingatia uhuru wa mahakama na haki za polisi au unafuata mkumbo tu?

Kweli unachosema. Habari za siku mkuu
 
Hivi mtu kupewa dhamana ina maana hana kesi yakujibu ? kweli mtindio wa ubongo umejaa maji. Na kuhusu Ng'hily wewe nenda tu kajibu mashtaka, kwani wakati unatumiwa mbowe hukuweka thread humu JF kuwa unatumiwa ? usitake tukuonee huruma wakati umeyatafuta mwenyewe, na dola haina msamaha na mambo hayo !

Kwani ameitwa kwenda kujibu mashitaka? tangulini polisi wanahukumu kesi?
 
Ndugu zangu wana JF Salamu,

Nimepigiwa simu kuwa nahitajika Police Kanda Maalum kwa mahojiano ya namna gani nilihusika na maandamano ya juzi ambayo yalitawanywa na police pale Magomeni kwa mabom ya machozi...

And according to them am the prime suspect, which iz not true. However, after consulting the CDM legal team, I have accepted the call na nitaenda majira ya asubuhi saa tano..Najua gov iko katika wakati mgumu na badala ya kushughulikia kero za wananchi imeamua kukamata kamata na kuhakikisha inatutisha ili tusiendeleze mapambano...

Ndugu zangu nimekuwa nikilisema hili na nitaendelea kulisema kuwa kamwe sitarudi nyuma katika mapambano haya...Tutaipigiania haki yetu kwa ajili yetu na vizazi vyetu...Tanzania ni yetu sote sisi na vizazi vyetu na wala si ya CCM na vibaraka wao..Ni heri kufa kishujaa lakini historia mpya ikiwa imeandikwa kuliko kufa kinafki....Inshallah Mwenyezi Mungu yupo na atatusaidia......

Aluta Continua...............

You are "not a prime suspect" then "you'll keep on the fight!" That looks so contradictive, unaweza ukajikosa kwa Mungu na kwa Shetani.
Good enough this isnt a courtroom, ila nina wasiwasi sana na maelezo yako mahakamani.
Kama kamanda you should show no fear, wala usiyakane matendo yako ya "kiukombozi" kama Petro alivyofanya kwa sababu mapambano si lelemama...
 
pole kaka ngihly nenda usiogope na naamini utarudi salama na nakuhakikishia kuwa tuko pamoja wala usikatishwe tamaa na huyu faizafoxy malaya wa wakubwa na ndio maana anawateteya sana nakuhakikisha tuko pamoja na worry not
 
Hivi katika maandamano yako uliyoaandaa madai yako hasa ni nini?

Hutaki Mbowe akamatwe kwa kukataa amri halali ya mahakama? (yaani kiongozi haheshimu mahakama?, anaonyesha nini wananchi

Nini malengo yako binafsi ya kuandamana unataka kufanikisha nini kwa taifa lako (acha urafiki wako na ushabiki wako wa chama)

Umezingatia uhuru wa mahakama na haki za polisi au unafuata mkumbo tu?

Maswali yako yanamajibu endapo tu una majibu ya maswali haya: Chenge alipotakiwa kukamatwa kwanini jeshi la polisi liliwasiliana na spika wa bunge ili kupata maelekezo na ruhusa ya kumkamata? Je kwenye sheria za nchi hii kuna double standard? Ukijibu vema, maswali yako yatajibika.
 
pole kaka ngihly nenda usiogope na naamini utarudi salama na nakuhakikishia kuwa tuko pamoja wala usikatishwe tamaa na huyu faizafoxy malaya wa wakubwa na ndio maana anawateteya sana nakuhakikisha tuko pamoja na worry not

Kwamba wewe ni ***aya wa wadogo ndiyo maana "unawateteya" acha frustrations zako nyumbani, dont bring them here...
 
Kaka tupo pamoja. Kwani Tz niyawananchi wote na wala siyo yawatu wachache. Tutazidi kudai haki mpaka mtu wakijijini /mama/dada/bibi/babu/baba/kaka zetu waweze pata hospitali, shule, umeme,maji safi, barabara bora na haki zingine kama binadamu. Tumechoka kukandamizwa tunataka haki sawa kwa wote sio maneno na semina tupu.

Tutapambana hadi mwisho.
MUNGU IBARIKI TZ NA WATU WAKE;
 
Nimefika nikiambatana na makamanda wenzangu wawili toka makao makuu,tukaulizia ofic ya RCO tukaelekezwa na kwa bahati mbaya hatukumkuta.Ila chumba cha pili kulikuwa na askari wa3 ambao walituambia tumpigie simili atupe maelezo mengine,sisi tukajibu kuwa tumefika kuitikia wito so kama aliyetuita hayupo basi tunaondoka na kama atatuhitaji aimini atanihitaji basi police itoe arrest warrant vinginevyo ctaenda tena coz hii ni kupotezeana muda.So imeishia hapo mkuu.....

kha...yani umeenda ukakuta hawapo??? Ndio maana mwanakijiji alikwambia acha mpaka waku-arrest. Kuwa arrested ni kitu cha kawaida kabisa. Sio kosa na haina record yeyote.
 
Mbona unajitetea "kufa kishujaa" mapema mno? kwani uliambiwa unakwenda kuuliwa?, au unaongelea ushujaa wa kuandaa maandamano kwa ajili ya mtu aliyekiuka amri ya mahakama?

Hivi ushujaa mnausikia au mnaujuwa ni nini? Nakusitikia sana kwa kuwa unafikra potofu za kutaka kuisaidia nchi yako kwa njia zisizo stahiki. Tanzania, na uchanga wake lakini ni nchi yenye demokrasia ya hali ya juu kulinganisha na nchi nyingi duniani. Na tunaona demokrasia ikizidi kushamiri hususan kipindi hiki cha awamu ya nne. Hivi mnafikiri kuvunja amani au kujidai uhodari ndio demokrasia?

Nilifikiri kuwa watu makini mngetumia "a more scientific approach" kuliko mbinu ambazo hazina tija kwa sasa. Haitotokea wala usijipotezee wakati kudhani kwamba kuna siku mtaichukuwa hii nchi kwa mabavu. Wananchi waliopiga kura zao na kwa wingi wao walichaguwa viongozi ambao wanaona wao wanawafaa, iwe wa chama chochote kile, hamuwezi leo kuja na kujidai mashujaa kwa kuivuruga demokrasia yetu.

Nenda kwa usalama ukajibu maswali, na tunakuombea iwe kweli kama ulivyosema kuwa hukuhusika na uvunjifu wa amani na usijidai kufanya ubishi usio na mpango huko uendako. Fata sheria na usifanye mzaha na nguvu za dola, si uliona juzi juzi walimsweka ndani Mwenyekiti?

Kumbuka, utajuta utakapoona kwamba hao wanasheria unaowategemea wanaingia mitini, kwa kuwa tu huna kitu, hapo ndipo utapojuwa kuwa unazugwa tu na wachache wenye uchu wa madaraka.
Hivi wewe FaizaFox unalipwa kiasi gani kutetea hao wezi wako CCM na serikali yake. Unasema nchi ina demokrasia, ni aina gani????? Kutuibia hivihivi kimacho macho ndio demokrasia, tuibiwe tunyamaze tusipige kelele!!!!!!! Umelogwa wewe na wezi wako, wacha unafiki kujidai wewe ni Mtanzania wewe ni kibaraka wa mafisadi CCM wanaotuzugha eti kuna amani ili waendelee kuiba.Wanaendelea kujenga majumba makubwa tuu na sisi tunaona!!!!!!!! Wezi wote wako huru mitaani (RA,EL,EChenge) hao ni baadhi tu, ni wabunge, waheshimiwa kwenye chama cha maghamba. Usiseme kuna demokrasia labda ya wanamaghamba, hata Misri ilionekana kuna demokrasia lakini hao wakuu wako lupango baada ya wananchi kughutuka. Ngojea zamu yenu hamna mahali pa kutokea, hata Mbaraka hakujua kama ataondolewa, ngojea kiama chenu ni karibu!!!!!!!!!!!!!!!
 
Wakuu kila siku me huwa nasema mkiona huyu Faiza ameandika comment ni kumuacha na ku ignore comment zake hana jipya zaidi tukimjibu tunapoteza muda wetu.
Mbona huyu ni kama maralia sugu??????? Ni sugu in disguise nini, isiwe ikawa tunapambana na sugu eti????????? Au ni timu yake ile ile!!!!!!!
 
"Kamata,bambikiza kesi,peleka rumande,peleka mahakamani,toa dhamana.Kama jana,kama leo,kama kesho,kila siku."Ndimara kwenye mwanahalisi la jana.
 
kha...yani umeenda ukakuta hawapo??? Ndio maana mwanakijiji alikwambia acha mpaka waku-arrest. Kuwa arrested ni kitu cha kawaida kabisa. Sio kosa na haina record yeyote.
Kitu cha kufanya weka record kuwa umefika hapo Police Station ulipo itwa, wasije kukugeuzia kibao kuwa hukufika. Look for the station in charge present yourself then keep record!!!!! Pole saana!!!!
 
Kaka mimi nakushukuru kwa update. Na pole kwa usumbufu ulioupata. Ushauri wangu ni kuwa bado usioneshe mpambano na hao jamaa, nenda nao taratibu kwa manufaa yako. wanaweza wakawa wamefanya hivo kwa makusudi na wanakuchunguza bado. kwa hiyo usilichukulie poa, maana hujajua file lako limeandikwa nini, maana siku ile nilisikia kuwa waliokamatwa madomeni wana kosa la uhaini kwa hiyo usiichukulie poa, toa ushirikiano pindi utakapohitajika na badili misimamo isiyoweza kukusaidia mwisho wa siku. kwani hapa Jf unaweza kupata wapambe wengi wa kukushawishi yasiyofaa na mwisho wa siku kizimbani utakuwa mwenyewe, hutosema niacheni nina kundi kule jamii forum linaniunga mkono, hiyo itakuwa ni NO.Nashukuru kwa kuwa pamoja
Kama alivyosema ndugu yangu Mr Mak hayo ni maneno ya busara, kwani kuna vitu kama harassment, psychological toments, ili kujua mood yako.Kwa hiyo keep your cool and avoid confrontation unless it is inevitable. Epuka ujinga kama mtu mwenye busara, usijitumbukize kizembe wisdom is a resource for a wise man!!!! Pole saana Ndg yangu!!!
 
Magari ya jeshi yalitumika kusafirisha masanduku ya kura feki za kikwete. Msijidanganye. Hizi ni zama za utandawazi hawezi kudanganya tena. Hongera CDM kutufumbua macho. Watanzania kufumbuliwa macho yao,tisho kwa ulaji nchi wa amani wa CCM na mabwana zao ma********* na makafiri waso tahiriwa wa ulaya.
 
Mbona unajitetea "kufa kishujaa" mapema mno? kwani uliambiwa unakwenda kuuliwa?, au unaongelea ushujaa wa kuandaa maandamano kwa ajili ya mtu aliyekiuka amri ya mahakama?

Hivi ushujaa mnausikia au mnaujuwa ni nini? Nakusitikia sana kwa kuwa unafikra potofu za kutaka kuisaidia nchi yako kwa njia zisizo stahiki. Tanzania, na uchanga wake lakini ni nchi yenye demokrasia ya hali ya juu kulinganisha na nchi nyingi duniani. Na tunaona demokrasia ikizidi kushamiri hususan kipindi hiki cha awamu ya nne. Hivi mnafikiri kuvunja amani au kujidai uhodari ndio demokrasia?

Nilifikiri kuwa watu makini mngetumia "a more scientific approach" kuliko mbinu ambazo hazina tija kwa sasa. Haitotokea wala usijipotezee wakati kudhani kwamba kuna siku mtaichukuwa hii nchi kwa mabavu. Wananchi waliopiga kura zao na kwa wingi wao walichaguwa viongozi ambao wanaona wao wanawafaa, iwe wa chama chochote kile, hamuwezi leo kuja na kujidai mashujaa kwa kuivuruga demokrasia yetu.

Nenda kwa usalama ukajibu maswali, na tunakuombea iwe kweli kama ulivyosema kuwa hukuhusika na uvunjifu wa amani na usijidai kufanya ubishi usio na mpango huko uendako. Fata sheria na usifanye mzaha na nguvu za dola, si uliona juzi juzi walimsweka ndani Mwenyekiti?

Kumbuka, utajuta utakapoona kwamba hao wanasheria unaowategemea wanaingia mitini, kwa kuwa tu huna kitu, hapo ndipo utapojuwa kuwa unazugwa tu na wachache wenye uchu wa madaraka.

hizo ni hisia za mtu anaekandamizwa usikurupuke kusema anajitetea ni haki yake kama raia,hoja yako imekaa ki-gamba nahis nawe ni mwana ccm/ccj ulieguswa na ukweli anaousimamia dick.asilimia kubwa ya wapigakura wanajua 'magamba' walichakachua matokeo,amka ujue uvumiliv wa mabav ya serikal yoyote una mwisho.Tunisia,misri now syria and libya the symbol which government must change system of rulling to represent true democracy,amka ww
 
absolutely.. lakini hawawezi kumlazimisha kufungua mdomo.

Nafikiri hapa ahali yangu Mwanakijiji unachanganya mambo. Kuna kitu kinachoitwa kuhojiwa na kutoa maelezo.

Kuhojiwa mara nyingi ni katika kufanya upelelezi wa suala fulani na inapotokea kuhisi labda mtu amehusika basi wanamwita kwa nia ya mahojiano ili kujiridhisha au kupata maelezo ya ziada katika upelelezi kwa nia ya kufikisha mahakamani au kuacha na kesi.

Suala la kutoa maelezo ni suala lingine. Hilo moja kwa moja wewe unakuwa mtuhumiwa na kutakiwa utoe maelezo kwa nia ya kuyafikisha mahakamani kama kielelezo cha ushahidi.

Kwa mujibu wa sheria hususan haki za mtuhumiwa ni hizi.
1. Unaweza kuandika maelezo wewe binafsi na kuweka sahihi yako bila shinikizo la mtu yoyote.
2. Unaweza utoe maelezo yako huku ukiongozwa na mwanasheria wako
3. Unaweza usitoe maelezo yoyote polisi na kusema yote utatoa mahakamani.

Kifupi haki za mtuhumiwa anaweza kutoa mwenyewe maelezo au kusubiri mpaka mwanasheria wake aje ili amuongoze au akakataa kabisa kutoa maelezo na kusubiri kutoa mahakamani.

Kila la kheir
 
Back
Top Bottom