frema120
JF-Expert Member
- Jan 1, 2012
- 5,099
- 1,338
Kutoka jikoni, mh huyu amepatiwa tender ya kusafisha na kusomba uchafu wote, maeneo yote ya upanga na posta bila ya utaratibu kupitia kampuni yake mpyaaaaaaaa ya usafi, na kutupiliwa mbali kampuni iliyokuwa inafanya kazi hiyo... hongela ngeleja, ingawa utajili ulionao sasa ungekutosha sanaaa
Mungu bariki africa
Mungu bariki Tanzania.
Mungu bariki africa
Mungu bariki Tanzania.