New Series I: Madudu na sifa za Edward Lowassa!

LOWASA,MAGUFULI ni wachapa kazi ndani ya ccm.mapungufu yao yapo kwa kila mmoja wetu!kama chadema haitaenda vijijini kupata kura sasa,mmojawapo kati ya hawa akiwa rais anaweza kuibadilisha nchi to next level
 
Edward Lowassa, huyu jamaa ana utaka urais kwa gharama yoyote ile iwayo. Yuko tayari kuingia ikulu kwa kutumia njia zozote zile, ziwe halali au hata za kimafia.

CCM wenyewe (wenye CCM) wanahofu kubwa sana juu ya nini kitatokea iwapo hawatompitisha Lowassa kuwa mgombea wa kiti cha urais.

Tuanze kuangalia mahusiano yake na Viongozi wa Dini, huko anatafuta wapiga debe kupitia Makanisani, na Misikitini. Kisha kila mwenye uwezo wa kuangalia mwenendo wake tumuangalie mahusiano yake na Jeshi, vijana na Jumuiya za akina mama. Utaona kuwa huko anatafuta support fulani za mwaka 2015. Sasa hivi amepoa kidogo kwani hajapata misukosuko kupitia vyombo vya habari hivyo chombo chochote kikijitokeza kumsema usijeshangaa................... He has a Long Strategic Plan.
 
I suggest you declare your conflict of interest first, then you can go ahead kujenga hoja yako. Halafu kingine nafikiri pia ungejaribu kumtaja unayefikiri anafaa kwa kumjengea hoja pingamizi ya hizo za Lowassa. Kama huwezi kufanya hivyo basi tuchukulie hoja zako kama zile zile zilizomponda Dr Salim (At least temporarily) baada ya urais kupatikana na tunapoelekea kumaliza muda wetu tunataka kumsafisha. Tanzania hiii??? I think we better have a foreigner investor in presidency kukata mzizi wa fitna. Muda utaamua.....
Elisa,

Aliyewasaidia waTz kupata maji ya Victoria si Lowasa, ni rais Mkapa kwenye ahadi yake ya 2000 kwa mkoa wa shinyanga. Wakati huo Lowasa alikuwa kama sio bench ni ofisi tofauti kabisa. Baada ya uchaguzi wa 2000 ndipo Lowasa na Dk Limbu wakaingia wizara hiyo.

Utekelezaji wa mradi wa maji ulianza 2001 wakati wa Lowassa na Diallo kama NW.

Kama nilivyosema awali, wengi mnaompigia jalamba huyu Mhe ni adui zake (kwa kujua au kutokujua) au ni wapinzani wa ccm (kwa kujua au kutojua. Kama ccm wakamteua Lowasa kugombea urais ataanguka asubuhi tu! Madhambi aliyowafanyia watanzania ni mengi afadhali wakuweke wewe Elisa hauna historia ya kuwakosea waTz.

Sifa mnazompa lowasa hanazo, alibahatika kuwa kufanya kazi na wasaidizi makini na pia Rais makini. Wengi wetu tunasahau au hatujui Lowasa na matatizo yake ya nyuma: alipokuwa tume ya Loliondo, na alivyokula hela za waarabu na kuwaacha hadi leo wapo Loliondo badala ya ilivyotarajiwa na waTz (soma tume teule ya Bunge kuhusu Loliondo) ipo hansard za bunge. Pia alipokuwa AICC kama CEO alivyopoteza fedha za ujenzi wa staff na baada ya hapo alivyojinyakulia ardhi ya AICC na baadae kuuziwa Themi Hill Suites, na wengine walio jirani ardhi iliyokuwa ya AICC!

Pia msaada wa ujenzi wa kiwanda cha vyandarua Sunflag, Sumitomo waliwekeza na serikali ya Japan na WB wakatoa grant, lowasa akalazimisha kuuziwa hisa kiwanda hicho bila kutoa hata senti kumi.

Alipokuwa wizara ya ardhi, mnakumbuka alivyokusanya fedha kwa kuuza maeneo na haraka haraka kajenga majengo masaki ambayo yalileta skandali kubwa. Ubalozi wa Afrika kusini walipangisha jengo lake kwa gharama kubwa na dili hiyo ilifanyika yeye akiwa waziri wa ardhi.
Nyerere alimuona kama mwizi tu huyo, akamchomoa kutogombea urais 1995. Wizi wa mali ya umma kaanza miaka mingi.

Hata unapodai kuwa mchapa kazi sikuelewi. Ungesema ana maamuzi ya pupa tu. Mfano, alipoamuru jengo moja karibu na mess ya polisi livunjwe kwavile wahindi walikataa kumlipa fedha; maamuzi yake yamegharimu wizara na serikali mabilioni kwa amri ya mahakama.

Leo tunalia elimu kuanguka; kisa kimojawapo ni ujenzi wa pupa wa shule za kata! Aliacha mpango wa WB na Nordic countries na kutaka utekelezwe kwa jazba! Mradi wa kuyelekezwa kwa miaka 10 yeye kaamua ufanyike miaka 2! Matokeo yake, hakuna waalimu, vifaa, maabara, uwezo kukosekana wa kuwachukua wanafunzi kuelndelea na kidato cha 5 na sita! Leo mnaunda tume kutafuta mchawi! Mchawi ni Lowassa na maamuzi yake ya pupa.
Madhambi yatoikanayo na uamuzi wa hovyo alioufanya huyo ndugu yako ni mengi na pia utajiri alio nao wa kugawa fedha kwenye makanisa hauelezeki. Anatoa fedha kwa wakristo akidhani watamsaidia. Hajasaidia msikiti hata mmoja kama kweli angekuwa na nia ya kusaidia jamii ya nchi hii. Anafanya akijua eti zamu ya mgombea kutoka kwenye ukristo ndilo linalofuata! Anasikitisha kwa kuona karibu na kijinga hivyo! Ni kati ya wanaochochea mgawanyiko wa dini nchini!

Hana maana wala sababu ya kuendelea kuhadaa waTz. Ngoja ufike muda uone kivumbi. Kajitahidi kuwanyamazisha wahariri wa magazeti mengi, hajui wakati wa chaguzi magazeti yote huhuishwa na mengine kufuka kwa kazi moja tu ya uchaguzi! Kuhonga kuna mwisho wake.

Leo wahariri wanadhuriwa na kulalamika kunyamazishwa! Ni wao wameyatafuta hayo, unakula fedha ya mtu halafu unafanya kinyume na matakwa yake unatarajia nini? Kwenye fedha mtu atakufanyia lolote akiona unataka kumdhulumu kinyume na matarajio yake.

Huu ni mchango ulioandikwa jana kwenye Jukwaa la Wanabidii na bwana Tony PT. Nitaendelea kutoa muendelezo wa sifa, wajihi na uozo wa watu mbalimbali waliojitokeza kuutaka Urais.
 
CCM ni machizi lakini kumteua LoWaSsa kugombea urais kwa Tiket ya CCM hawawezi fanya hivyo!
Lowassa ndo injinia wa kuivuruga CCM
Lowassa ndo mzee alie zalisha makundi
Lowassa ndo alifanya juu chini kumwaribia PM pinda iliaonekane ovyo
Lowassa ndo mpikaji udini nchini kwa kutumia Dini kuivuruga serikali lakini ndani ya Bunge kimyaaaaaa
Lowassa ndo Mr Dowans aka Richmond maumivu yake tunayabeba mpaka kesho
Lowassa ni silent killer anaeutaka urais kwa cost yoyote But we will be very kin on that
unasahau kitu kimoja sio ccm machizi hata chadema kwani dr slaa ana maana yeyote?si lolote si chochote.
 
"Rather than seeking its own good, the love of God flows forth and bestows good. Therefore sinners are attractive because they are loved; they are not loved because they are attractive (LW 31:57)"

- Martin Luther (Lutheran Church Reformer)
 
Mkuu Mwalimu Nyerere hakumwogopa Lowassa kwa Pesa zake bali kwa kuwa Lowassa ni Follower wa Moringe Sokoine aliye Uliwa kidizaini ili asiharibu jina la Ubaba wa Taifa kutokana na msimamo wake kuhusu uchumi wa Tanzania kitu ambacho Mwinyi baadae alikifanya ilikuwa ndoto ya Sokoine yaani Rukhsa! Shahidi wa nini kilimpeleka Sokoine akhera Lowassa ambae alirudishwa toka Ukepteni wa Jeshi kuja kwenye siasa by Sokione ana siri nyingi na ndio maana Nyerere alimwogopa Lowassa kwani Nyerere hakuwa msafi hata kidogo

Unamlisha nani upuuzi huu kuhusu Sokoine na Ruksa wapi na wapi? Sokoine alikuwa radhi watu wavae ngozi zilizotengenezwa nchini kuliko kukimbilia mitumba ya Ulaya aliyoleta Mwinyi. Huwezi mlinganisha Sokoine na hawa wezi wa Loliondo Lowasa na Mwinyi. Hata kama unachukia Nyerere lakini hapo umepitiliza mpaka. Mwinyi aliua Azimio la Arusha na kuleta la Zanzibar ambalo ndo linatungamiza sasa. Usirudie tena kumlinganisha Sokoine na huyu Lowasa , unajipotezea sifa bure ya kuwa GT...
 
Elewa maada, hata kama unampenda sana JK, hata mimi nampenda, lakini ukweli ni kuwa WAZO LA KUJENGA UDOM SIO lake. Sijasema utekelezaji nasema WAZO! Unaonekana kuujua ukweli ila upenzi wako kwa JK unataka kumpa hata visivyo vyake. Tusibishane kwa mambo yaliyo wazi, bila kuwepo na wazo hakuna kinachofanyika. Kwamba wazo bila utekelezaji hamna kitu kitafanyika lakini wazo zuri likiwepo hata vitukuu vitalitumia ndiyo maana hata leo hii Newtons anakumbukwa lakini wanaotekeleza mawazo yake ni wengi. Daruwin mwanzilishi wa ushindani (survival for the fittest) anakumbukwa hadi leo ingawaje wanaoshindania rasilimali ni wengi hata wewe Good 2005

Mbona bado mbishi wewe ndio unataka mashindano usiyoyajua
Wazo la Jumba la Mikutano la Chimwaga kubadilishwa kuwa Chuo Kikuu lilitolewa na mwasisi wa CHADEMA baada ya kulitembelea na kugundua kuwa fedha zilizochangishwa na watanzania wote kuwa ni Jengo la Mikutano la CCM ni makosa kwani Michango ilianza kabla ya Vyama vingi.
Ndipo hata CCM wakati wa Mkapa wakalibeba wazo hilo, tafuta Katiba yao hata na Madhumuni ya Chama hicho utakuta hiyo kitu hata JKT imezungumziwa humo na Dodoma kuwa Makao makuu au la.

Na jibu halisi ni JM Kikwete ndio kajenga hicho Chuo kwa kutumia fedha za ndani za Mifuko ya jamii STOP
 
Elisa,

Aliyewasaidia waTz kupata maji ya Victoria si Lowasa, ni rais Mkapa kwenye ahadi yake ya 2000 kwa mkoa wa shinyanga. Wakati huo Lowasa alikuwa kama sio bench ni ofisi tofauti kabisa. Baada ya uchaguzi wa 2000 ndipo Lowasa na Dk Limbu wakaingia wizara hiyo.

Utekelezaji wa mradi wa maji ulianza 2001 wakati wa Lowassa na Diallo kama NW.

Kama nilivyosema awali, wengi mnaompigia jalamba huyu Mhe ni adui zake (kwa kujua au kutokujua) au ni wapinzani wa ccm (kwa kujua au kutojua. Kama ccm wakamteua Lowasa kugombea urais ataanguka asubuhi tu! Madhambi aliyowafanyia watanzania ni mengi afadhali wakuweke wewe Elisa hauna historia ya kuwakosea waTz.

Sifa mnazompa lowasa hanazo, alibahatika kuwa kufanya kazi na wasaidizi makini na pia Rais makini. Wengi wetu tunasahau au hatujui Lowasa na matatizo yake ya nyuma: alipokuwa tume ya Loliondo, na alivyokula hela za waarabu na kuwaacha hadi leo wapo Loliondo badala ya ilivyotarajiwa na waTz (soma tume teule ya Bunge kuhusu Loliondo) ipo hansard za bunge. Pia alipokuwa AICC kama CEO alivyopoteza fedha za ujenzi wa staff na baada ya hapo alivyojinyakulia ardhi ya AICC na baadae kuuziwa Themi Hill Suites, na wengine walio jirani ardhi iliyokuwa ya AICC!

Pia msaada wa ujenzi wa kiwanda cha vyandarua Sunflag, Sumitomo waliwekeza na serikali ya Japan na WB wakatoa grant, lowasa akalazimisha kuuziwa hisa kiwanda hicho bila kutoa hata senti kumi.

Alipokuwa wizara ya ardhi, mnakumbuka alivyokusanya fedha kwa kuuza maeneo na haraka haraka kajenga majengo masaki ambayo yalileta skandali kubwa. Ubalozi wa Afrika kusini walipangisha jengo lake kwa gharama kubwa na dili hiyo ilifanyika yeye akiwa waziri wa ardhi.
Nyerere alimuona kama mwizi tu huyo, akamchomoa kutogombea urais 1995. Wizi wa mali ya umma kaanza miaka mingi.

Hata unapodai kuwa mchapa kazi sikuelewi. Ungesema ana maamuzi ya pupa tu. Mfano, alipoamuru jengo moja karibu na mess ya polisi livunjwe kwavile wahindi walikataa kumlipa fedha; maamuzi yake yamegharimu wizara na serikali mabilioni kwa amri ya mahakama.

Leo tunalia elimu kuanguka; kisa kimojawapo ni ujenzi wa pupa wa shule za kata! Aliacha mpango wa WB na Nordic countries na kutaka utekelezwe kwa jazba! Mradi wa kuyelekezwa kwa miaka 10 yeye kaamua ufanyike miaka 2! Matokeo yake, hakuna waalimu, vifaa, maabara, uwezo kukosekana wa kuwachukua wanafunzi kuelndelea na kidato cha 5 na sita! Leo mnaunda tume kutafuta mchawi! Mchawi ni Lowassa na maamuzi yake ya pupa.
Madhambi yatoikanayo na uamuzi wa hovyo alioufanya huyo ndugu yako ni mengi na pia utajiri alio nao wa kugawa fedha kwenye makanisa hauelezeki. Anatoa fedha kwa wakristo akidhani watamsaidia. Hajasaidia msikiti hata mmoja kama kweli angekuwa na nia ya kusaidia jamii ya nchi hii. Anafanya akijua eti zamu ya mgombea kutoka kwenye ukristo ndilo linalofuata! Anasikitisha kwa kuona karibu na kijinga hivyo! Ni kati ya wanaochochea mgawanyiko wa dini nchini!

Hana maana wala sababu ya kuendelea kuhadaa waTz. Ngoja ufike muda uone kivumbi. Kajitahidi kuwanyamazisha wahariri wa magazeti mengi, hajui wakati wa chaguzi magazeti yote huhuishwa na mengine kufuka kwa kazi moja tu ya uchaguzi! Kuhonga kuna mwisho wake.

Leo wahariri wanadhuriwa na kulalamika kunyamazishwa! Ni wao wameyatafuta hayo, unakula fedha ya mtu halafu unafanya kinyume na matakwa yake unatarajia nini? Kwenye fedha mtu atakufanyia lolote akiona unataka kumdhulumu kinyume na matarajio yake.

Huu ni mchango ulioandikwa jana kwenye Jukwaa la Wanabidii na bwana Tony PT. Nitaendelea kutoa muendelezo wa sifa, wajihi na uozo wa watu mbalimbali waliojitokeza kuutaka Urais.

we na roho yako mbaya kusema ya wenzako ya kwako tutamtafuta mkeo atatueleza ----- wako wote.
 
wewe na (nepi) nape hakuna tofauti.wivu na majungu.we lazima uwe ------ na huna kazi ya kufanya zaidi ya kukaa vibarazani na kupika majungu
 
Le Grand Alexei,umeandika mada nzuri lakini ulipo haribu ni pale ulipounganisha na UDINI.Tukianza kuchaguana kulingana na dini zetu basi zamu hii ni ya wapagani.
Siyo Watanzania wote wanaofurahia viongozi wetu wa kidini wanapopapatikia pesa za rushwa na wizi kutoka kwa wanasiasa,viongozi ambao tuliwategemea wapige kelele na kusema hapana kwenye pesa hizo na matumizi mabaya ya mali ya umma,wamenyamaza na kufumba macho.
Simfagilii Lowasa pia sababu ya tabia yake ,ya rushwa na kujilimbikizia mali.Kwa upande wangu hata ubunge hakupaswa kuupewa,lakini ni sababu ya shilingi alizonazo ameweza kuzipata.Watanzania tukitaka kuumia mara nyingine tena tumchague huyu.
 
Unamlisha nani upuuzi huu kuhusu Sokoine na Ruksa wapi na wapi? Sokoine alikuwa radhi watu wavae ngozi zilizotengenezwa nchini kuliko kukimbilia mitumba ya Ulaya aliyoleta Mwinyi. Huwezi mlinganisha Sokoine na hawa wezi wa Loliondo Lowasa na Mwinyi. Hata kama unachukia Nyerere lakini hapo umepitiliza mpaka. Mwinyi aliua Azimio la Arusha na kuleta la Zanzibar ambalo ndo linatungamiza sasa. Usirudie tena kumlinganisha Sokoine na huyu Lowasa , unajipotezea sifa bure ya kuwa GT...

Sawa lakini na wewe usimfananishe Lowassa na Mwinyi, Kepteni wa JWTZ na mwalimu wa kiswahili skuli Unguja, mwenye digrii na mwenye diploma ya kiswahili, pia Lowassa hajauza Unga yeye wala Mkewe, kuhusu mwinyi Muulize Mrema Lyatonga
 
Niko teyari kuichukia na kuiponda Chadema endapo mtaendelea kumponda Lowassa ambae wote tunajua ni msafi isipokuwa utajiri wake ambao haumfikii Uhuru Kenyatta unawauma wajinga wenye fitna

Kama utaweza kumshauri akatueleza watanzania A-Z ya Richmond halafu akarudisha mali zote alizoiba akabakiwa na mali yake halali,nitaku-support.Vinginevyo Tanzania kwanza Lowassa baadaye
 
Elisa,

Aliyewasaidia waTz kupata maji ya Victoria si Lowasa, ni rais Mkapa kwenye ahadi yake ya 2000 kwa mkoa wa shinyanga. Wakati huo Lowasa alikuwa kama sio bench ni ofisi tofauti kabisa. Baada ya uchaguzi wa 2000 ndipo Lowasa na Dk Limbu wakaingia wizara hiyo.

Utekelezaji wa mradi wa maji ulianza 2001 wakati wa Lowassa na Diallo kama NW.

Kama nilivyosema awali, wengi mnaompigia jalamba huyu Mhe ni adui zake (kwa kujua au kutokujua) au ni wapinzani wa ccm (kwa kujua au kutojua. Kama ccm wakamteua Lowasa kugombea urais ataanguka asubuhi tu! Madhambi aliyowafanyia watanzania ni mengi afadhali wakuweke wewe Elisa hauna historia ya kuwakosea waTz.

Sifa mnazompa lowasa hanazo, alibahatika kuwa kufanya kazi na wasaidizi makini na pia Rais makini. Wengi wetu tunasahau au hatujui Lowasa na matatizo yake ya nyuma: alipokuwa tume ya Loliondo, na alivyokula hela za waarabu na kuwaacha hadi leo wapo Loliondo badala ya ilivyotarajiwa na waTz (soma tume teule ya Bunge kuhusu Loliondo) ipo hansard za bunge. Pia alipokuwa AICC kama CEO alivyopoteza fedha za ujenzi wa staff na baada ya hapo alivyojinyakulia ardhi ya AICC na baadae kuuziwa Themi Hill Suites, na wengine walio jirani ardhi iliyokuwa ya AICC!

Pia msaada wa ujenzi wa kiwanda cha vyandarua Sunflag, Sumitomo waliwekeza na serikali ya Japan na WB wakatoa grant, lowasa akalazimisha kuuziwa hisa kiwanda hicho bila kutoa hata senti kumi.

Alipokuwa wizara ya ardhi, mnakumbuka alivyokusanya fedha kwa kuuza maeneo na haraka haraka kajenga majengo masaki ambayo yalileta skandali kubwa. Ubalozi wa Afrika kusini walipangisha jengo lake kwa gharama kubwa na dili hiyo ilifanyika yeye akiwa waziri wa ardhi.
Nyerere alimuona kama mwizi tu huyo, akamchomoa kutogombea urais 1995. Wizi wa mali ya umma kaanza miaka mingi.

Hata unapodai kuwa mchapa kazi sikuelewi. Ungesema ana maamuzi ya pupa tu. Mfano, alipoamuru jengo moja karibu na mess ya polisi livunjwe kwavile wahindi walikataa kumlipa fedha; maamuzi yake yamegharimu wizara na serikali mabilioni kwa amri ya mahakama.

Leo tunalia elimu kuanguka; kisa kimojawapo ni ujenzi wa pupa wa shule za kata! Aliacha mpango wa WB na Nordic countries na kutaka utekelezwe kwa jazba! Mradi wa kuyelekezwa kwa miaka 10 yeye kaamua ufanyike miaka 2! Matokeo yake, hakuna waalimu, vifaa, maabara, uwezo kukosekana wa kuwachukua wanafunzi kuelndelea na kidato cha 5 na sita! Leo mnaunda tume kutafuta mchawi! Mchawi ni Lowassa na maamuzi yake ya pupa.
Madhambi yatoikanayo na uamuzi wa hovyo alioufanya huyo ndugu yako ni mengi na pia utajiri alio nao wa kugawa fedha kwenye makanisa hauelezeki. Anatoa fedha kwa wakristo akidhani watamsaidia. Hajasaidia msikiti hata mmoja kama kweli angekuwa na nia ya kusaidia jamii ya nchi hii. Anafanya akijua eti zamu ya mgombea kutoka kwenye ukristo ndilo linalofuata! Anasikitisha kwa kuona karibu na kijinga hivyo! Ni kati ya wanaochochea mgawanyiko wa dini nchini!

Hana maana wala sababu ya kuendelea kuhadaa waTz. Ngoja ufike muda uone kivumbi. Kajitahidi kuwanyamazisha wahariri wa magazeti mengi, hajui wakati wa chaguzi magazeti yote huhuishwa na mengine kufuka kwa kazi moja tu ya uchaguzi! Kuhonga kuna mwisho wake.

Leo wahariri wanadhuriwa na kulalamika kunyamazishwa! Ni wao wameyatafuta hayo, unakula fedha ya mtu halafu unafanya kinyume na matakwa yake unatarajia nini? Kwenye fedha mtu atakufanyia lolote akiona unataka kumdhulumu kinyume na matarajio yake.

Huu ni mchango ulioandikwa jana kwenye Jukwaa la Wanabidii na bwana Tony PT. Nitaendelea kutoa muendelezo wa sifa, wajihi na uozo wa watu mbalimbali waliojitokeza kuutaka Urais.

Sawa lakini jiulize kitu kimoja kama watu wangekuwa wanachagua wasafi basi:
1. Viongozi wengi wa CCM na CCM yenyewe wasingekuwa madarakani
2. Uhuru Kenyatta asingeshinda
3. Yoweri Museveni asingekuwa anaongoza hadi leo
4. Paul Kagame asingekuwa anaongoza hadi leo
5. Na wengine wengi tu

Kwa hiyo kigezo cha usafi/ufisadi pekee siyo ambacho kinawafanya watu kumchagua mtu.
 
Safi sana unaungana na mimi kuwa WAZO SIO LA JK.
Mbona bado mbishi wewe ndio unataka mashindano usiyoyajua
Wazo la Jumba la Mikutano la Chimwaga kubadilishwa kuwa Chuo Kikuu lilitolewa na mwasisi wa CHADEMA baada ya kulitembelea na kugundua kuwa fedha zilizochangishwa na watanzania wote kuwa ni Jengo la Mikutano la CCM ni makosa kwani Michango ilianza kabla ya Vyama vingi.
Ndipo hata CCM wakati wa Mkapa wakalibeba wazo hilo, tafuta Katiba yao hata na Madhumuni ya Chama hicho utakuta hiyo kitu hata JKT imezungumziwa humo na Dodoma kuwa Makao makuu au la.

Na jibu halisi ni JM Kikwete ndio kajenga hicho Chuo kwa kutumia fedha za ndani za Mifuko ya jamii STOP
 
Kweli Mkuu RichMund ni JK na rafiki zake na Lowassa aliwahi mhoji JK kwenye kikao cha chama Dodoma kuhusa kutoswa yeye na imekaaje serikali kukaa kimya na kama yeye JK anakumbuka siku alipokuwa nje ya nchi Lowassa alimpigia simu na kumwambia Richmond sio kampuni ya maana ila Rais alimjibu we wacha tu
Wengi humu jamvini wanajua huu ukweli including MWKJJ, ila wanajaribu kuendelea kumchafua kwa nguvu zote. Maadui wa Edo na wanaomchukia hawajui hata ubaya wa Edo! Tunafahamu kuwa Edo anajua mambo mengi kuhusiana na kifo cha Edo Moringe, Tunafahamu kuwa USA hawampendi na wanamuogopa Edo Lowassa kutokana na kuitimua City Water...Edo anajua Game linalochezwa na mataifa makubwa, yeye huwa anadeal nao squire 50/50 siyo hawa wengine wazungu warshippers ambao hata wazungu wenyewe wanasikia kichefuchefu kwa tabia za kujikomba na umatonya uliokithiri...

Member et al waje watueleze fedha zetu Museveni alizotulipa zimewekwa wapi? aje clean atueleze fedha zetu alizotupa Ghadaffi ameziweka? akimaliza atueleze kuwa fedha zetu aka chenji ya Rader imewekwa kwenye a/c ipi?...Propaganda chafu ya kueneza ukanda umemgharimu kiasi gani so far? kwanini akina membe walimua Imran Kombe wakati yeye akiwa Security analyst/Igondu pale Ikulu? ... Hoja za kumchafua Edo ni pandikizi, hazina mshiko na bila shaka vitaangukia pua kama ambavyo hoja ya ukanda unavyoshindwa vibaya ...
 
Wabongo tubadilike na siasa za kupakana matope tujifunze kenya hakuna mgombea au mpambe wa mgombea aliyemsema mgombea mwenzake. Wote walizungumzia wataifanyia nini kenya upande wa ardhi, uchumi, ajira n.k. Kwa hiyo lowasa hata akiwa na sifa hizo ulizoleta kama ana uwezo wa kuibadili tanzania kuelekea kwenye neema tutampa urais tu. Tutawapima zaidi kwa ujasiri, kujieleza na record ya nyuma. Wakati huo. Uhuru kenyata ni tajiri namba 3 kule kenya (tanzania fisadi) na ana kesi icc lakini wakenya ndiyo wanaona atawaletea mabadiliko na wamempa urais. Acheni simple politics
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom