TUNTEMEKE
JF-Expert Member
- Jun 15, 2009
- 4,587
- 579
Tutawaambia Watanzania kila wakati kuwa serikali ya Chama Cha Mapinduzi imejaa wezi wa mali zao na muda umefika sasa Watanzania wajiandae kuibadili. Huku la posho, madaktari, katiba na matumizi ya mabovu ya fedha katika safari za nje ya nchi kwa viongozi waandamizi wa nchi likiendelea; washirikishe Watanzania kuhusu hili la ujenzi wa ukumbi mpya katika Ikulu ya Dar es Salaam.
Maswali ya msingi:
1.... Kuna umuhimu gani kufanya mradi huu.
2. Mradi una gharama kiasi gani.
3. Nani watalipa gharama hizi.
4. Kwa nini mkandarasi amepatikana pasipo kutanganzwa kama Public Procurement Act inavyotaka (PPA)
5. Tender board ilitumia vigezo vipi?
6. Hii nayo ni sehemu ya kuhamishia Ikulu Dodoma? (CDA inatumia fedha za walipa kodi ikiwa na kauli mbiu ile ile yakuifanya Dodoma kuwa makao makuu!)
Client: PRESIDENT'S OFFICE, STATE HOUSE
Project: New Multi-Function Hall
Location: State House, Dar es Salaam
Completion: Construction to commence 2012
Floor Area: 6000m2
Contract Value: Secret